20/10/2026
Kwa wale huamka mapema.
Wale wanajenga biashara.
Wale wanacreate.
Wale wanatafuta next opportunity.
Na wale wanashikilia watu wao bila makelele.
Leo ni yenu pia.
Happy Mashujaa Day to everyone adding something to Kenya every day.