Mr .Benma

Mr .Benma ����Never blame me ��
The city of the
Lost 🔥🔥
Souls ❤️
Love 🖕🖕🖕🔥🔥

GO WELL LEGEND 😭💪👏💪 YOU WILL BE ALWAYS ON OUR HEARTS ❤️
24/12/2025

GO WELL LEGEND 😭💪👏💪 YOU WILL BE ALWAYS ON OUR HEARTS ❤️

🥰𝘼𝙋𝘼𝙍𝙏 𝙁𝙍𝙊𝙈 𝙆𝙐𝙆𝙐𝙈𝙄𝙎𝙎 𝙉𝘼 𝙆𝙐𝙆𝙐𝙋𝙀𝙉𝘿𝘼 𝙉𝙄 𝙆𝙐𝙆𝙐 𝙂𝘼𝙉𝙄 𝙄𝙉𝙂𝙄𝙉𝙀 𝙐𝙉𝘼𝙅𝙐𝘼?🤭😂😂😋  😍🔥🔥
31/07/2025

🥰𝘼𝙋𝘼𝙍𝙏 𝙁𝙍𝙊𝙈 𝙆𝙐𝙆𝙐𝙈𝙄𝙎𝙎 𝙉𝘼 𝙆𝙐𝙆𝙐𝙋𝙀𝙉𝘿𝘼 𝙉𝙄 𝙆𝙐𝙆𝙐 𝙂𝘼𝙉𝙄 𝙄𝙉𝙂𝙄𝙉𝙀 𝙐𝙉𝘼𝙅𝙐𝘼?🤭😂😂😋
😍🔥🔥

31/07/2025

Location addict

Uko na machali kumi and you are still using neonray (⁠◍⁠•⁠ᴗ⁠•⁠◍⁠)⁠❤(⁠ ⁠◜⁠‿⁠◝⁠ ⁠)⁠♡(⁠◍⁠•⁠ᴗ⁠•⁠◍⁠)⁠❤♥⁠╣⁠[⁠-⁠_⁠-⁠]⁠╠⁠♥umalay...
21/07/2025

Uko na machali kumi and you are still using neonray (⁠◍⁠•⁠ᴗ⁠•⁠◍⁠)⁠❤(⁠ ⁠◜⁠‿⁠◝⁠ ⁠)⁠♡(⁠◍⁠•⁠ᴗ⁠•⁠◍⁠)⁠❤♥⁠╣⁠[⁠-⁠_⁠-⁠]⁠╠⁠♥umalaya bila maendeleo ni dhambiᕦ⁠ʕ⁠ ⁠•⁠ᴥ⁠•⁠ʔ⁠ᕤ(⁠๑⁠˙⁠❥⁠˙⁠๑⁠)🌹🌹

Baba kabla hajafa alimwambia mwanae "hapa nina saa niliyopewa na babu yako ina miaka zaidi ya mia mbili,nataka nikuzawad...
24/01/2025

Baba kabla hajafa alimwambia mwanae "hapa nina saa niliyopewa na babu yako ina miaka zaidi ya mia mbili,nataka nikuzawadie.Lakini kabla sijakupa nenda kwa sonara uone k**a watainunua kwa shilingi ngapi?"

Kijana akaenda na kumrudia babaake na kumwambia kuwa wamesema watainunua kwa shilingi elfu kumi na tano kwa sababu imezeeka sana.

Babaake akamwambia tena aende kwenye maduka ya vyuma chakavu,Alipoenda aliambiwa kuwa watainunua kwa shilingi elfu moja.

Baada ya hapo baba alimwambia aende tena kwenye jumba la makumbusho aone watainunua kwa shilingi ngapi.

Alipoenda wao wakamwambia watainunua kwa shilingi milioni kumi na tano,kwa sababu walikuwa wanatafuta sana vitu vya kale k**a hivyo.

Baada ya hapo baba alimwambia mwanae nilitaka tu ujue thamani ya kitu kikiwa sehemu yake sahihi.

"Mwanangu unaweza ukaenda mahali watu wasikupe hashima yako na wasikuthamini kabisa.

Usije umia kwa sababu hawajui thamani yako ukiona hivyo! Toka mahala hapo tambua hapo sio mahali sahihi kwako tafuta mahali pengine sahihi ambapo watatambua thamani yako.

◾Ubarikiwe wewe utakao Kuchuka tendo la IMANI la kulike page hii na kwa share ujumbe huu katika vikundi 5 tofauti..🙏🏾

💎💍😂Leo nimeingia club nikaitisha Captain Morgan Mzinga😎🍾🍸But nikaona watu wameniangalia sana nikasema siwezi kunywa na w...
02/01/2025

💎💍😂Leo nimeingia club nikaitisha Captain Morgan Mzinga😎🍾🍸But nikaona watu wameniangalia sana nikasema siwezi kunywa na watu wameniangalia😏so nikashout 🗣Waitor..Siwezi kunywa na watu wananiangalia pea kila Mtu yake😎..Watu kuskia hivo wakafurahi🥳🤗wengine wakaanza kudance💃🕺Baada ya kila mtu kupewa pombe..nikaitisha Chips kuku😎🤓..Tena nikaona watu wananiangalia, nikaambia waitor siwezi kula na watu wananiangalia..Pea kila mtu yake😎😎🤓wacha watu wafurahi🕺🕺wakaanza kuniita majina poa poa eti ooh Mkuu..Ooh our incoming President👉..wewe ndio budah boss sasa💪💪🤗...
Baada ya kumaliza kukula nikiitisha Bill nikaona tena watu wote wakaniangalia🙄..Nikashout🗣..Waitor Siwezi lipa na watu wameniangalia..pea kila mtu yake😎🤓...Sai vile naongea hivi sina Meno Nne kwa mdomo wakuu😭😭😰wacha nipakwe dawa narudi kumalizia story😂😩🙆🙆💍💎

loading to the guys Benma
🔥🔥The city of the lost souls🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

Success to kainuk mixed secondary school the school of excellence having the class of excellence this year ✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍...
13/10/2024

Success to kainuk mixed secondary school the school of excellence having the class of excellence this year ✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️

Address

Caren
Westlands

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mr .Benma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category