Ika-dagaa Arusha

Ika-dagaa Arusha Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ika-dagaa Arusha, Food Delivery Service, Njiro, Arusha.

karibu tukuhudumie dagaa wazuri kabisa wa mafuta,waliokaangwa na viungo,kutoka Mwanza

Bei zetu ni rafiki kabisa kwanzia kipimo Cha 1000 na kuendelea...
Tupo Njiro,Arusha
delivery inafanyika ,karibu Sana��

habari Tena 😊😊nimezidi kukuboroshea huduma mpendwa, kwa Sasa habari za kwenda sokoni Basi!!nipo hapa kwa ajili yako, waw...
05/05/2022

habari Tena 😊😊

nimezidi kukuboroshea huduma mpendwa, kwa Sasa habari za kwenda sokoni Basi!!
nipo hapa kwa ajili yako, waweza nituma sokoni nikakuletea mahitaji yako yoteeeee unayohitaji katika ubora.
nakuletea viungo vyote vya jikoni, ukihitaji nafaka,dagaa nk

mawasiliano:0714347737

napatikana Arusha,Njiro kwa Msola
karibuni woteeeeee

05/04/2022

karibu dagaa waliokaangwa na viungo kutoka Mwanza 😋😋

hawana mchanga kabisa

karibuni dagaa waliokaangwa kwa viungo
23/03/2022

karibuni dagaa waliokaangwa kwa viungo

04/03/2022

karibu dagaa, kutoka Mwanza

wamekaangwa vizuri na viungo😋😋
Tupo Arusha Njiro, delivery inafanyika
#0714347737

Address

Njiro
Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ika-dagaa Arusha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ika-dagaa Arusha:

Share