The Ace of Diamonds

The Ace of Diamonds We make Gin, and we make Gin fun! Chase the Ace to know more!

Heri ya Siku ya Wafanyakazi kutoka kwa Ace of Diamonds Gin. Tunawatakia kila la kheri kwa juhudi zenu na mafanikio yenu....
01/05/2024

Heri ya Siku ya Wafanyakazi kutoka kwa Ace of Diamonds Gin. Tunawatakia kila la kheri kwa juhudi zenu na mafanikio yenu. Hongera kwenu, wafanyakazi wa kweli! 🍸✨

Maadhimisho mema ya siku ya Muungano kutoka Ace of Diamonds! Tunaadhimisha miaka 60 ya umoja, maendeleo, na mafanikio pa...
26/04/2024

Maadhimisho mema ya siku ya Muungano kutoka Ace of Diamonds! Tunaadhimisha miaka 60 ya umoja, maendeleo, na mafanikio pamoja.

13/04/2024

“Kunywa Gin kwa staha, na furaha itakufuata kila wakati”

Jipatie chupa yako ya Ace of Diamonds sasa ufurahie ladha ya aina yake, vibe isiyochosha na uamke kesho yake ukiwa fresh kabisa tayari kwa ajili ya kurudi mahangaikoni

Banjuka na Ace of Diamonds!!Maisha ni mafupi, shida zisikae kichwani. Sahau yote na unyanyue chupa yako ya Ace of Diamon...
06/04/2024

Banjuka na Ace of Diamonds!!

Maisha ni mafupi, shida zisikae kichwani. Sahau yote na unyanyue chupa yako ya Ace of Diamonds na ladha uipendayo….

31/03/2024

Tunawatakia sikukuu njema ya pasaka. Stay safe, Stay Acing!!

23/03/2024

“Kinywaji ni kuzuri kila pande za Tanzania. Wewe utaamua uende kunywea wapi”

Jipatie chupa yako ya Ace of Diamonds sasa ufurahie ladha ya aina yake, vibe isiyochosha na uamke kesho yake ukiwa fresh kabisa tayari kwa ajili ya kurudi mahangaikoni

Original? Pineapple au Strawberry?! Yote sisi tunayoFurahia ladha za kipekee kutoka Ace of Diamonds gin. Unafurahia ipi ...
21/03/2024

Original? Pineapple au Strawberry?! Yote sisi tunayo

Furahia ladha za kipekee kutoka Ace of Diamonds gin. Unafurahia ipi kati ya hizo au wewe ni mtu wa mixer au ni cocktails?! 😄 😄

Jiunge nasi katika kusherekea na kupumzika na ndugu, jamaa na marafiki ukishushia na Ace of Diamonds hapo mambo inakua n...
15/03/2024

Jiunge nasi katika kusherekea na kupumzika na ndugu, jamaa na marafiki ukishushia na Ace of Diamonds hapo mambo inakua ni murua.

Jipatie yako sasa na usisahau kuenjoy weekend yako 😉

08/03/2024

Sherehekea siku ya wanawake na rafiki yako, mpenzi wako, au hata wewe mwenyewe!

Shiriki nasi jinsi unavyosherehekea siku hii kwa bei nafuu kwenye comments!

Fomula ni ile ile, tukutane huko ulipo: Pesa Kidogo, Tabasamu Kubwa. Tupigie simu kufahamu wapi kwenye eneo lako unaweza...
01/02/2024

Fomula ni ile ile, tukutane huko ulipo: Pesa Kidogo, Tabasamu Kubwa.

Tupigie simu kufahamu wapi kwenye eneo lako unaweza kupata kinywaji chako.
💎Tag rafiki yako ambaye angependa hiki kinywaji chenye fleva ya strawberry, pienappple na orijino.

Usikubali mkono m'bovu, shinda mchezo wa maisha!Mwisho wa mwezi wa Njaanuary unakaribia, lakini sherehe na ushindi bado ...
29/01/2024

Usikubali mkono m'bovu, shinda mchezo wa maisha!

Mwisho wa mwezi wa Njaanuary unakaribia, lakini sherehe na ushindi bado upo mkononi! Cheza kwa akilini na shinda kwa ladhaa, ni wakati wa kujipatia ushindi mdogo na Ace of Diamonds, gin iliyotengenezwa kwa viungo bora kabisa.

💎Una mpango wa kuumalizaje huu mwezi wa Njaanuary?

Address

Plot 58/59 Themi Industrial Area, Njiro
Arusha

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 12:45

Telephone

+255673576101

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Ace of Diamonds posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category