29/05/2026
Huu ni mtambo wa kuchuja maji aina ya Wall Mounted Filter kutoka Nanofilter.
Unaunganishwa moja kwa moja kutoka kwenye chanzo cha maji na huchuja hadi lita 10 kwa saa.
✅ Huondoa vijidudu na bakteria
✅ Husaidia kupunguza magonjwa ya tumbo
✅ Hupunguza kiwango cha fluoride kwenye maji
✅ Haufanyi kazi kwa umeme
NO POWER, NO STRESS.
Karibu Nanofilter ujipatie mitambo ya kisasa ya kuchuja maji kwa matumizi ya nyumbani, ofisini, shule, hospitali na sehemu mbalimbali.
📍 Tunapatikana Arusha, Tanzania
📞 Tupigie: 0744 251 916