07/08/2025
ππ§ HUDUMA BORA ZA MAJI, MAZINGIRA NA TEKNOLOJIA TANZANIA NZIMA! π§πΏ
JCRAYASHY INVESTMENT CO. LTD β Tunatoa huduma za kitaalamu, salama, na za kisasa kwa maendeleo endelevu ya jamii yako! π·ββοΈπ¬
π Tunakuletea huduma mbalimbali kwa ubora wa hali ya juu katika sekta ya maji, mazingira, afya ya jamii, uhandisi na vifaa vya maabara. Tumejikita katika kutatua changamoto zinazohusu maji safi, usafi wa mazingira na udhibiti wa visumbufu.
β
HUDUMA ZETU KUU:
π§ 1. Uchimbaji wa Visima vya Maji (Borehole Drilling)
Kwa matumizi ya nyumbani, mashamba, taasisi, viwanda na hoteli.
π§ 2. Hydrogeological Survey
Utambuzi wa maeneo sahihi ya kuchimba visima vyenye maji ya kutosha.
βοΈ 3. Ufungaji wa Mifumo ya Kuchuja Maji (Water Filtration Systems)
Kuondoa fluoride, chumvi ngumu (hardness), na uchafu wa kemikali na vimelea.
π§ͺ 4. Upimaji wa Ubora wa Maji (Chemical & Microbiological Tests)
Kwa matumizi ya majumbani, viwandani, mashuleni n.k.
π¬ 5. Usambazaji wa Vifaa na Kemikali za Maabara
Kwa shule, vyuo, hospitali na taasisi za utafiti.
π οΈ 6. Ufungaji wa Pipes na Ubunifu wa Mifumo ya Maji (System Design)
Mifumo bora ya usambazaji wa maji, solar pump installation, n.k.
π¦ 7. Fumigation & Pest Control (Ufukizaji na Uthibiti wa Visumbufu)
Tunatokomeza mende, mbu, kunguni, sisimizi, nyoka, panya na wadudu wengine hatari kwa afya na mazingira.
π§Ό 8. Usanifu na Ufungaji wa Biodigester Septic Systems
Tunatengeneza chemba za kisasa zisizojaa, zisizotoa harufu, zinazodumu kwa muda mrefu, rafiki kwa mazingira.
π 9. Mafunzo na Ushauri wa Kitaalamu
Kuhusu afya ya maji, mazingira, maabara na usalama wa vifaa.
---
π± WATEJA WETU NI PAMOJA NA:
π« Mashule | π₯ Hospitali | π’ Taasisi | π§βπΎ Wakulima | π¨ Hoteli | π Nyumba binafsi
π Makao Makuu: Arusha, Tanzania
π Tunahudumia mikoa yote ya Tanzania
---
π WASILIANA NASI LEO:
π² Simu/WhatsApp: 0692 716 888
π§ Email: [email protected]
π Ofisi zetu ziko wazi: Jumatatu β Jumamosi | Saa 2:30 Asubuhi β Saa 11:00 Jioni
---
π οΈ JCRAYASHY Investment Co. Ltd
Tunakuhakikishia huduma bora, salama na zinazojali mazingira kwa kizazi cha sasa na kijacho! ππ§