25/11/2025
Hello Mkulima na Mfugaji
Njoo tujifunze pamoja .
Njoo Tubadiloshane uzoefu hapa.
K**a hauna uzoefu basi pitia comments tu upate kuambulia chochote kitu.
Swali letu ni hili:
Je,Ulishawahi kukumbana na Changamoto ya Mafua Makali kwa Kuku wako ? Uliwaokoaje?