Simba Food Products

Simba Food Products Simba Food Products is a 100% Tanzanian-owned and operated partnership business that was established in 2019 as a specialist food products supply.

To all the incredible women out there—Happy Women’s Day! 💜 Your strength, resilience, and passion inspire us every day.
08/03/2025

To all the incredible women out there—Happy Women’s Day! 💜 Your strength, resilience, and passion inspire us every day.

Kuelekea mwezi mtukufu wa Ramadhani, tungependa kuwatakia wateja wetu na waislamu wote mfungo huu ukawe na baraka, amani...
01/03/2025

Kuelekea mwezi mtukufu wa Ramadhani, tungependa kuwatakia wateja wetu na waislamu wote mfungo huu ukawe na baraka, amani na mafanikio.
Usisahau kutumia Simba N**i kila siku unapoandaa futari yako.

Ramadan Kareem! 🌙🕌

🛒🥥 Usipange kikapu chako bila Simba N**i! 🎉Kwa ladha tamu na harufu ya kipekee jikoni, hakikisha Simba N**i iko kwenye o...
24/02/2025

🛒🥥 Usipange kikapu chako bila Simba N**i! 🎉

Kwa ladha tamu na harufu ya kipekee jikoni, hakikisha Simba N**i iko kwenye orodha yako ya manunuzi unapokua supermarket yoyote Tanzania!

📍 Zipo kwenye Supermarket na pia unaweza agiza mtandaoni ukaletewa na Kiosky au Sarafu.
📞 Piga simu sasa: 0677 222 606

FURSA YA KIPEKEE!Jiunge na familia ya Simba N**i k**a wakala wetu rasmi na ulete bidhaa bora za Simba N**i kwa jamii yak...
03/02/2025

FURSA YA KIPEKEE!
Jiunge na familia ya Simba N**i k**a wakala wetu rasmi na ulete bidhaa bora za Simba N**i kwa jamii yako!

Usikose nafasi hii ya kipekee ya kuwa sehemu ya mafanikio ya Simba N**i!
👉 Piga simu sasa: 0677 222 606 au wasiliana nasi kupitia WhatsApp kuanza safari yako ya kuwa wakala

Wiki imeanza, ni muda wa kujaza viungo jikoni! 🥥 Hakikisha Simba N**i haikosekani kwenye orodha yako ya manunuzi kwa lad...
27/01/2025

Wiki imeanza, ni muda wa kujaza viungo jikoni! 🥥 Hakikisha Simba N**i haikosekani kwenye orodha yako ya manunuzi kwa ladha bora na ya kipekee jikoni.

Jumatatu njema!✨
**i

Harufu na ladha ya kipekee jikoni! 🥥🔥 Simba N**i inakuletea ladha yenye ubora wa asili kwa kila mlo wako. Hakikisha unat...
24/01/2025

Harufu na ladha ya kipekee jikoni! 🥥🔥 Simba N**i inakuletea ladha yenye ubora wa asili kwa kila mlo wako. Hakikisha unatumia n**i hii leo!

Piga simu kwa mahitaji ya jumla au kuwa wakala wetu 📞 0677 222 606. **i

Ongeza ladha ya kipekee kwenye chakula chako na Simba N**i – Tui la n**i halisi kwenye kila diko!Harufu ya kuvutia, ladh...
21/01/2025

Ongeza ladha ya kipekee kwenye chakula chako na Simba N**i – Tui la n**i halisi kwenye kila diko!
Harufu ya kuvutia, ladha isiyosahaulika – Simba N**i, siri ya mapishi yako bora!

**i
**iladhayanyumbani
**ikitaa

Happy Revolution Day!  Celebrating unity, progress, and the spirit of Zanzibar. ✨
12/01/2025

Happy Revolution Day! Celebrating unity, progress, and the spirit of Zanzibar. ✨

Warmest wishes from our team to you this Christmas! 🎄✨ May your holidays be filled with cheer, and your new year with su...
25/12/2024

Warmest wishes from our team to you this Christmas! 🎄✨ May your holidays be filled with cheer, and your new year with success. 🎁
**i

Ni weekend tena! Weka kila kitu kando, shirikiana na familia yako jikoni, pika vyakula vitamu, na furahia pamoja mezani ...
14/12/2024

Ni weekend tena! Weka kila kitu kando, shirikiana na familia yako jikoni, pika vyakula vitamu, na furahia pamoja mezani mkitumia Simba N**i tui halisi la n**i. 🥥✨

Happy Uhuru Day! This Independence Day, we celebrate Tanzania’s rich heritage and bright future.
09/12/2024

Happy Uhuru Day!
This Independence Day, we celebrate Tanzania’s rich heritage and bright future.

Address

Plot 71 Siwa Road, Mikocheni Industrial Area
Dar Es Salaam
14112

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 13:00

Telephone

+255677222606

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Simba Food Products posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Simba Food Products:

Share

Category