15/08/2026
Jipatie Vifaranga Bora kutoka Clanesha Poultry Farm 👍📲 0757084666*
🐣Vifaranga *Kroiler* @2,000/=
🐣Vifaranga *Sasso* @2,000/=
🐣Vifaranga *Kienyeji* @2,000/=
🐣 Vifaranga *Broiler* @2,200/=
*Box moja Lina Vifaranga 102 @200,000/=
*Tunatoa kila baada ya siku nne.
Pia Vifaranga wa kienyeji Pure ni Siku za Juma Tano kila wiki
👍📲0757084666 Clanesha Poultry Farm
🌴Sifa za Kroiler.
*Hufugika Kienyeji
*Huhimili Magonjwa
*Wanakuwa kwa muda mfupi sana
*Ni Kuku wa Nyama na Mayai
*Hutaga mayai mengi zaidi ya 250 kwa mwaka
*Jogoo anauwezo wa kufika Uzito wa Kg5 Jike 3.5
🛵Delivery ipo kwa Bei Nafuu Mikoani pia Tunatuma
Tupo DSM Kibamba 0757 084 666