NULI Machinery

NULI Machinery Distributor of gricultural machineries and spare parts as well as grain processing. based in Kahama and Dar es salaam

WAHI OFFA ZA SABA SABAMASHINE ZA KULANDA NA KUCHANA MBAOTunazo inchi 12 na inch 16Inalanda juu na chini, inachana inatob...
08/07/2026

WAHI OFFA ZA SABA SABA

MASHINE ZA KULANDA NA KUCHANA MBAO

Tunazo inchi 12 na inch 16
Inalanda juu na chini, inachana inatoboa n.k
Single phase au three phase chaguo ni lako.

Inchi 16 bei ni 4,500,000/= top na mota (5.5hp)
Inch 12 bei ni 3,500,000/= top na mota

Tupigie au whattsapp 0626751473
Tupo mbezi mwisho barabara ya makabe

15/06/2026

LUXTER 2400W COMPOUND MITER SAW HEAVYDUTY–

Nguvu Kubwa kwa Kukata Aluminium Profiles! Motor 2400W – Nguvu ya kutosha kukata profiles za alumini kwa urahisi na kasi

Compound Miter – Kukata pembe na bevel sahihi (0°-45°) na ikata upana wa 10cm na inaslide urefu wa 34cm

Blade maalum kwa Aluminium – Matokeo safi bila burrs

Laser Guide + Clamp + Guard ya Usalama
Brand: LUXTER
Rangi: Manjano Mkali – Inavutia, inaonekana vizuri kiwandani na salama!

Inafaa kwa: Madirisha, milango, fanicha, decoration na miradi yote ya aluminium.

Bei Tsh 850,000 Tu! Warrant- mwaka mmoja.

Simu / WhatsApp: 0626751473
Mbezi mwisho barabara ya makabe Dar es salaam
Stock Limited – Usikose

Distributor of gricultural machineries and spare parts as well as grain processing. based in Kahama and Dar es salaam

OFFA YA MASHINE ZA MBAOMASHINE COMBINE KURANDA, KUNYOSHA JOINT, KUKATA, KUTOBOA n.kINCH 16 OFFA YA MILLION 4.5 TUINCH 12...
15/05/2026

OFFA YA MASHINE ZA MBAO

MASHINE COMBINE KURANDA, KUNYOSHA JOINT, KUKATA, KUTOBOA n.k

INCH 16 OFFA YA MILLION 4.5 TU
INCH 12 OFFA MILLION 3.5 TU

POWER 5.5HP SINGLE AU THREE PHASE CHAGUO LAKO.

CALL 0626751473
MBEZI MWISHO BARABARA YA MAKABE DAR ES SALAAM.

15/04/2026

Mashine za Mbao tunazo..
Made in China
Kazi kuranda juu na chini, kuchana, kutoboa n.k
Inchi 12 million 3.5
Inchi 16 million 4.8.
Ubora umehakikiwa.. Ukisimika unasahau shida.

Tupo Dar es salaam, mbezi mwisho barabara ya makabe.
Call 0626751473

30/03/2026

Mashine portable za kusaga na kukoboa nafaka kwa wajasiriamali wadogo wa unga wa sembe, Lishe, viungo n.k zinapatikana kwetu.

Uwezo kilo 100 kwa saa.. mota 5hp single phase (umeme wa nyumbani huhitaji connection zaid).

Inakoboa na kusaga nafaka aina zote (mahindi, mpunga n.k)

Tuna model aina mbili (angalia picha kwenye comment).
Bei ya model N60 ni million 1.8 complete na mota na bei ya N100 ni million 2 complete na mota.

Tupo Mbezi mwisho barabara ya makabe- Dar es salaam tupigie 0626751473

Tunazo mashine za kuranda, Kuchana na kutoboa mbao..Tunauza mashine mpya za kutoka ChinaTunazo inch 12 na inch 16Offa: I...
23/02/2026

Tunazo mashine za kuranda, Kuchana na kutoboa mbao..
Tunauza mashine mpya za kutoka China
Tunazo inch 12 na inch 16

Offa: Inch 12 complete na mota ya 5.5hp- million 3.5 (fixed).
Inchi 16 complete na motor ya 5.5hp- million 4.8.

Call 0626751473- Mbezi mwisho barabara ya makabe- Dar es salaam

11/02/2026

Mashine ya kukata aluminium

Sliding 30cm, inch 10, inakata kulia na kusho nyuzi 45.
Power- 2400W (Heavy duty machine)
Inakata upana wa 10cm

Bei 850,000/= (offa )

Call 0626751473- Mbezi mwisho- barabara ya makabe. Dar es salaam

Follow page yetu kwa offa zaidi

06/02/2026

Randa za umeme zipo
Inch 3.. 1100W
Bei 200,000/=

Mashine za mbao combine (kuranda, kuchana, kunyosha joint, kutoboa n.k) zipo.Mpya, made in China.Inch 12 bei million 3.5...
11/01/2026

Mashine za mbao combine (kuranda, kuchana, kunyosha joint, kutoboa n.k) zipo.
Mpya, made in China.

Inch 12 bei million 3.5 complete na mota 5.5hp
Inchi 16 bei million 4.8.

Call 0626751473
Mbezi luis barabara ya makabe
Dar es salaama

Mashine za kukoboa mpungaSB 10D, na SB 50 zipoCall 0626751473Mbezi luis Dar es salaam
11/01/2026

Mashine za kukoboa mpunga
SB 10D, na SB 50 zipo
Call 0626751473
Mbezi luis Dar es salaam

Address

Dar Es Salaam
14124

Telephone

+255626751473

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NULI Machinery posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share