Mama mkwe samaki

Mama mkwe samaki TUNAUZA SAMAKI AINA YA VIBAMBARA KWA BEI YA JUMLA NA REJAREJA,
TUBAKUFIKIA POPOTE ULIPO DAR KWA GHA

Karibu MAMA MKWE FOODS Unapata unachokiona kwa ukubwa na ubora wasiliana nasi kwa huduma ya jumla na reja reja ndan na n...
14/05/2026

Karibu MAMA MKWE FOODS
Unapata unachokiona kwa ukubwa na ubora wasiliana nasi kwa huduma ya jumla na reja reja ndan na nje ya Dar es Salaam.

15/04/2026

Mzigo wa samaki vibambala upo wa kutosha karibuni piga simu au tuma msg WhatsApp kwa huduma ya haraka zaidi

Karibu Mama Mkwe Foods! Tunakuletea ladha halisi ya samaki safi kutoka ziwa Victoria. Tuna dagaa wa kukaangwa, sanagara ...
19/03/2026

Karibu Mama Mkwe Foods! Tunakuletea ladha halisi ya samaki safi kutoka ziwa Victoria.
Tuna dagaa wa kukaangwa, sanagara waliokaushwa yaani vibambara pamoja na Sato wabichi.
Bidhaa zetu ni fresh na zenye ubora wa hali ya juu. Tunapatikana Dar es Salaam Mbezi beach na vile vile tunatuma mikoani.
Wasiliana nasi kwa njia ya simu kwa huduma ya haraka.
0747223600
0752866854
Asante kwa kutuamini!

16/03/2026

Mzigo wa vibamabara upo wa kutosha
Tunauza Jumla na rejareja
Wasiliana nasi kwa njia ya simu kwa huduma ya haraka

14/03/2026

‎ Habari wateja wetu wa MAMA MKWE FOODS
Tunapenda kuwafahamisha kua mzigo mpya wa samaki (vibambara)umefika , k**a kawaida yetu bidhaa ni fresh na nzuri sana.
Vile vile tuna sato wabichi fresh kabisa ambao wamefika asubuhi hii, sato mmoja ni shilling elf 12 tu.

Delivery ni ya haraka na bei nafuu bila kusahau kwa maeneo yote ya mbezi beach ni bure kabisa.

Sato wa MAMA MKWE sio wa kukosa kabisa Mzigo upo wa kutosha karibu elf 12 tuu
14/03/2026

Sato wa MAMA MKWE sio wa kukosa kabisa
Mzigo upo wa kutosha karibu elf 12 tuu

Tupo fullMzigo upo Jumla na reja reja piga simu kupata huduma kwa haraka
09/03/2026

Tupo full
Mzigo upo Jumla na reja reja piga simu kupata huduma kwa haraka

Tunapokea order za Sato wabichi karibuni sana. Mteja anasikilizwa na kupata mzigo vile anavyopenda.Kusafisha na kukata v...
05/02/2026

Tunapokea order za Sato wabichi karibuni sana. Mteja anasikilizwa na kupata mzigo vile anavyopenda.
Kusafisha na kukata vipande
Kukaanga

Huduma zote hizi utapata hapa karibu kumbuka ni shillingi elf 60 tu utapata samaki watano ambao wanatoa vipande 15 mpaka 18 vikubwa k**a unavyoona kwenye picha tukiwa tunafunga mzigo wa mteja wetu.

AGIZA SATO NA MAMA MKWE FOODSUsiogope kuagiza sato kutoka kanda ya ziwa, sio lazima uagize ndoo nzima pekeyako. Hapa MAM...
03/02/2026

AGIZA SATO NA MAMA MKWE FOODS

Usiogope kuagiza sato kutoka kanda ya ziwa, sio lazima uagize ndoo nzima pekeyako. Hapa MAMA MKWE FOODS unaweza kuagiza idadi unayoitaka wewe.

Sato ni shilling elf 12 tu kwa kilo moja na unaweza kuagiza kuanzia kilo 5 na kuendelea.
Karibuni sana.

Mawasiliano WhatsApp 074733600

Dagaa waliokaangwa kwa ustadi na uwiano mzuri wa chumvi na viungo utawapata kwa Mama Mkwe tu.Karibuni tunakufikishia pop...
02/02/2026

Dagaa waliokaangwa kwa ustadi na uwiano mzuri wa chumvi na viungo utawapata kwa Mama Mkwe tu.
Karibuni tunakufikishia popote ulipo.

Address

Mikocheni B
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mama mkwe samaki posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category