Latifa Kaisi

Latifa Kaisi Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Latifa Kaisi, Food Delivery Service, Masaki, Dar es Salaam.

30/03/2026

Hii hapa snack/ kitafunwa cha chapchapโ€ฆ.. wewe utaiita unavyopenda ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kuepuka mambo ya kitu flani hakipikwi hivyo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Enjoy ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜

16/03/2026

Ukishanunua bites kutoka kwetu shushia na chai hii asubuhiโ€ฆ.. huku ukisubiri tukuletee pilau/ biriani ulilooda kwa ajili ya lunch. Easy peasy ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Slowly getting back to my routine and enjoying doing things i loveโ€ฆโ€ฆ my kitchen is my happy place, i express my love thr...
15/03/2026

Slowly getting back to my routine and enjoying doing things i loveโ€ฆโ€ฆ my kitchen is my happy place, i express my love through food. From my kitchen i am able to make an income and that is a huge blessingโ€ฆโ€ฆ.. Latieskitchen carries a very special place in my heart.

19/02/2026

Hii hapa idea ya chakula cha haraka sana.

17/02/2026

Ushakutana na ile siku ya mission impossible? Ndo kilichonikuta mimi sasa, hata kufilm end product nilishindwa sababu ya kukimbizana na usingizi wa non tax payer ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ process si unaona kwenye video lakini? K**a kuna mahali hujaelewa tafadhali niulize kwenye comment na mimi ntajibu.

16/02/2026

Leo ni zamu ya bagia za kunde.
Kabla hujachanganya na hivyo vikorokoro ukablend hakikisha unachambua kunde zako vizuri, mimi huwa natumia zilizokobolewa (zilizo parazwa) zioshe vizuuuri sana kisha loweka kwa muda.
Baada ya kuloweka kunde zako zenye maganda (huwa zinakua kidogo) zitaanza kujivua maganda basi hakikisha unaosha vizuuuri na kutoa maganda yote nayayo eleaโ€ฆ.

Zichuje (mimi sichuji napenda ziwe na maji maji niblend hivyo) weka kwenye sufuria na viungo upendavyo. Viungo basic ni vitunguu maji vya kutosha, vitunguu thaumu pamoja na majani ya corriander halafu ziblend. Weka baking pawder kidogo kisha ziache k**a robi saa huvi choma bagia zako na utafurahi zitakavyo chambuka na kuwa na ladha nzuri

N:B mimi huwa sipendi ziwe na ugali katikati (nyama nyingi) hivyo uzito wa kunde zangu baada ya kusaga huwa hauwi mgumuuu (naweka maji kidoogo au baada ya kuosha siziweki kwenye chujio zibaki na maji maji) nipate bagia laini ndani na crunchy nje.

Size ya bagia zangu pia huwa spendi kubwa napenda vidogo dogo vilie kwachaaaa.

Msimu huu wa Ramadhan tunatoa huduma ya bites za aina zote, Karibuni sana.

Suffiicient for us ia Allah, and he is the best disposer of affairs.
24/11/2024

Suffiicient for us ia Allah, and he is the best disposer of affairs.

โ€œItโ€™s all about finding the calm in the chaosโ€.
06/11/2024

โ€œItโ€™s all about finding the calm in the chaosโ€.

Pretty Sofia
01/11/2024

Pretty Sofia

Cute petit โ€œ6 inchโ€
01/11/2024

Cute petit โ€œ6 inchโ€

Address

Masaki
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Latifa Kaisi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Latifa Kaisi:

Share