Nobo_tz

Nobo_tz We are Professionals in making and sell All kind of pure organic Masala. we offer free Delivery within Dar City_Tanzania .

18/05/2024

*1.* Kunyamaza wakati fulani maishani mwako siyo kipawa bali ni nidhamu
*(1 Wathesalonike 4: 11).*

*2.* Nyamaza unapohisi hasira
*(Mithali 14:17).*

*3.* Nyamaza unapokuwa huna taarifa ya kutosha au ukweli kuhusu unachotaka kusema *(Mithali 18:13).*

*4.* Nyamaza unapokuwa ni wakati wako kusikiliza na kujifunza
*(Mithali 13: 1).*

*5.* Nyamaza ukigundua kwamba maneno yako yataleta picha mbaya
*(Mithali 17: 27).*

*6.* Nyamaza ukijua kile unachotaka kusema kitaharibu jina na sifa ya mwenzio
*(Mithali 16: 27).*

*7.* Nyamaza ukijua utakachosema kitaharibu urafiki na kujeruhi mwenzako
*(1Wakorintho 15: 33).*

*8.* Nyamaza ukigundua kwamba utaaibika baadaye kwa sababu ya ulichokisema
*(Mithali 8:8).*

*9.* Nyamaza ukijua unachotaka kusema kitamdhalilisha Mungu, wewe mwenyewe au familia yako
*(1Petro 2: 21-23).*

*10.* Nyamaza ikiwa wakati ulio nao ni wakati wa kazi
*(Mithali 14: 23).*

*11.* Mtu azuiaye kinywa chake na ulimi wake, atajilinda nafsi yake na taabu
*(Mithali 21: 23).*

Mungu akupe neema ya kujenga nidhamu ya kunyamaza kwa maana maneno ya kinywa chako ni mtego kwako
*(Mithali 6:2).*

#๐‘ช๐‘ฏ๐‘จ๐‘ต๐‘ฎ๐‘ฌ๐’€๐‘ถ๐‘ผ๐‘น๐‘ด๐‘ฐ๐‘ต๐‘ซ๐‘บ๐‘ฌ๐‘ป๐‘ญ๐‘ถ๐‘น๐‘บ๐‘ผ๐‘ช๐‘ช๐‘ฌ๐‘บ



#๐‘จ๐‘ต๐‘ฎ๐‘จ๐‘ณ๐‘ฐ๐‘จ๐‘ฒ๐‘ฌ๐‘บ๐‘ฏ๐‘ถ๐’€๐‘จ๐‘ฒ๐‘ถ



#๐‘ป๐‘ฐ๐‘ด๐‘ฌ๐‘ป๐‘ถ๐‘ช๐‘ฏ๐‘จ๐‘ต๐‘ฎ๐‘ฌ
#๐™€๐™‰๐™…๐™Š๐™”๐™”๐™Š๐™๐™๐™‡๐™„๐™๐™€
#๐‘ฏ๐‘ฐ๐‘ฝ๐’€๐‘ถ๐‘ป๐‘ผ๐’€๐‘จ๐‘จ๐‘ต๐‘ฐ

04/04/2024

Ni kwamba k**a unahitaji kufanikiwa lazima ujifunze kudili na kukataliwa (rejection)

Katika maisha yako lazima itatokea watu wakakukataa kabisa. Marafiki watakukataa, wafanyakazi wenzako watakukataa, maombi yako ya kazi yatakataliwa, wateja wa kununua bidhaa zako watazikataa. Na zaidi Mpenzi uliemuamini ukampa kila kitu, ukajishusha kwake na kukubali kuwa mtumwa wake atakukataa!!

Lakini k**a unayo kiu ya mafanikio na unahitaji kufanikiwa lazima ujifunze kudili na huko kukataliwa na ku-move on!

Hauwezi ukaendelea kuishi maisha ya huzuni, majuto na hofu ya wale waliokukataa, waliokuacha katika wakati mbaya, waliokusaliti na waliokupotezea muda!

You have let go, na ku-focus katika kutimiza kusudi la uwepo wako na punde kidogo waliokukataa watakuona At the top!

Yesu kristo mwenyewe alisema "Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni" I.e the stone which the builders rejected is put right at the Top..kubali kukataliwa na waashi, na soon utakua jiwe kuu!

MUNGU anayo tabia ya kuwabariki watu waliokataliwa. Mungu anayo tabia ya kuwatumia wale watu waliodharauliwa hapo awali..! The road to financial freedom๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช!!To GOD be the Glory!

01/04/2024

Take care of yourself because people can Drive 100miles to bury you but canโ€™t cross a street to help you.

01/04/2024

It is during our darkest moments that we must focus to see the light

31/03/2024

KAMWE USIJIFUNZE KUTOKA KWA WALIOSHINDWA, MAANA WATAKUKATISHA TAMAA,

KHERI YA SIKU YA PASAKA WAPENDWA.

28/03/2024

Loosing is also Part of winning, pambana bila kukatishwa tamaa

10/03/2024

Kwakuwa hatujui kuhusu kesho haimaanishi tulale kizembe.

28/02/2024

There is no second chance to make a first impression

Mzigo mpya soon.Kaa tayari kwa Pilau,Mchuzi,Chai timamu spice
23/04/2022

Mzigo mpya soon.

Kaa tayari kwa Pilau,Mchuzi,Chai timamu spice

0787884994 WhatsApp
17/04/2022

0787884994 WhatsApp

Our Official Logo
13/04/2022

Our Official Logo

10/10/2021

Karibuni sana tukuhudumie

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nobo_tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Nobo_tz:

Share

Category