05/08/2026
Tofauti ya wanaopata faida kubwa kwenye biashara ya ubuyu na wanaopata faida ndogo ipo hapa…
Ni namna ambavyo utapimiwa vizuri ubuyu wako sehemu ambayo unaagiza mzigo wako,
Hii unayoiona kwenye video ni maandalizi ya 10kg halisi.
Na hivyo ndivyo tunavyopima oda zote za mizigo yetu kuanzia 5KG hadi 50KG
Ndiyo maana wateja wetu wanapokwenda kuuza, wanarudi kuagiza tena mzigo mkubwa zaidi kwasababu wanapata faida,
Kwasababu tunawapa elimu namna ya kufanya biashara hii kwa ukubwa sana pamoja na kuwashauri ladha nzuri za kuuza pamoja na kupima vizuri
Na k**a unataka kuanza biashara ya ubuyu bila kukosea kwenye vipimo tuma ujumbe sasahivi “NATAKA” inbox tukuongoze kwanza kabla hujaagiza,
👇 Package za jumla: •
5kg — 20,000 (0.5kg BURE)
• 10kg — 39,000 (1kg BURE)
• 20kg — 70,000 (1kg BURE)
• 50kg — 170,000 (1kg BURE)
Una swali? Uliza kwenye comments