camgas_tz

camgas_tz Wauzaji na Wasambazaji wa Gesi ya kupikia yanayotumika majumbani, hotelini n.k. FREE DELIVERY 24/7

CAMGAS Semi Bulk imeundwa kukidhi mahitaji ya taasisi yako. Pika kwa wakati na bila wasiwasi.Wasilina nasi: 0746 990 111...
17/07/2026

CAMGAS Semi Bulk imeundwa kukidhi mahitaji ya taasisi yako. Pika kwa wakati na bila wasiwasi.

Wasilina nasi: 0746 990 111

Usikubali muda upotee jikoni, chagua CAMGAS kwa mapishi ya haraka na yenye usalama zaidi.Wasiliana nasi: 0746 990 111   ...
13/06/2026

Usikubali muda upotee jikoni, chagua CAMGAS kwa mapishi ya haraka na yenye usalama zaidi.

Wasiliana nasi: 0746 990 111

Usiku wa tarehe 29 Aprili, 2026, CAMGAS ilitunukiwa tuzo ya BEST COOKING GAS BRAND katika hafla ya Tanzania Trading Awar...
30/04/2026

Usiku wa tarehe 29 Aprili, 2026, CAMGAS ilitunukiwa tuzo ya BEST COOKING GAS BRAND katika hafla ya Tanzania Trading Awards

Tuzo hili ni ushahidi wa fahari wa ubora wa juu wa gesi yetu ya kupikia, inayoaminika na kupendelewa kote Tanzania. CAMGAS inaendelea kuwa kigezo k**a chaguo salama na safi zaidi kwa kupikia.

Tumeshinda

CAMGAS inawatakia Waislamu wote mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadan. Katika mwezi huu wa baraka, endelea kuandaa If...
19/02/2026

CAMGAS inawatakia Waislamu wote mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadan.

Katika mwezi huu wa baraka, endelea kuandaa Iftar yako kwa urahisi, usalama na uhakika wa gesi safi kutoka Cam Gas.

Tunawatakia amani, baraka na mafanikio katika kila siku ya mfungo.

Yafanye mapishi yako yawe yenye furaha zaidi.Tumia mtungi wa CAMGAS utakaokupa uhakika kwenye mapishi yako na matumizi s...
10/02/2026

Yafanye mapishi yako yawe yenye furaha zaidi.

Tumia mtungi wa CAMGAS utakaokupa uhakika kwenye mapishi yako na matumizi salama kila siku.

Wasilina nasi: 0746 990 111

Pika kisasa kwa bajeti ndogo ukitumia CamGas.CamGas Mapishi mengi, gesi kidogo!.Wasiliana nasi 0746 990111
22/01/2026

Pika kisasa kwa bajeti ndogo ukitumia CamGas.

CamGas Mapishi mengi, gesi kidogo!.

Wasiliana nasi 0746 990111

Address

Kurasini
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when camgas_tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share