Luhimbo Store

Luhimbo Store Tunauza vitu mbalimbali kwa bei nzuri call/whatsapp:0715175702

08/08/2026

Blood pressure machine:55000
Blood glucose machine:45000

Location:mlimani tower

Call/whatsapp:0715175702

EMS Abs Trainer BeltNi mkanda unaovaliwa tumboni na hutumia Electrical Muscle Stimulation yaani kufanya misuli ya tumbo ...
30/07/2026

EMS Abs Trainer Belt

Ni mkanda unaovaliwa tumboni na hutumia Electrical Muscle Stimulation yaani kufanya misuli ya tumbo ijikaze na kulegea k**a inavyofanya kawati wa mazoezi

Kazi zake

✨inasaidia kuchoma mafuta tumboni

✨Inasaidia kukaza tumbo

✨inatoa massage hivyo uondoa uchovu

✨Ni rahisi kutumia nyumbani ofisni au ukiwa safarini

✨Ni rechargeable

Bei:55000

call/WhatsApp:0715175702

Location:mlimani tower opp na mlimani city

23/07/2026

Airway assit Device

Hiki ni kifaa kinachosaidia kuweka njia ya hewa wazi ili mtu aweze kupumua vizuri

Kazi zake;

✨Inasaidia kuondoa kitu kilichoziba kwenye njia ya hewa

✨Inafaa kutumika mashuleni

✨Inafaa kutumia hotelini

✨Pia ni muhimu iwepo nyumbani

Bei:45000

Call/WhatsApp:0715175702

Location:sinza kumekucha near fine travellers hotel

23/07/2026

U shaped neck massager

Hii ni massager ya shingo inayosaidia kupunguza maumivu na kukaza kwa misuli ya shingo

Faida za neck massager

🌟Inasaidia kupunguza maumivu ya shingo yanayotokana na kukaa kwa kufa mrefu

🌟Inasaidia kulegeza misuli iliyokaza

🌟Inasaidia kuongeza mzunguko wa damu kwenye eneo la shingo

🌟Inasaidia kupunguza uchovu wa siku nzima

🌟Inaweza kupinguza maumivu ya kichwa yanayotokanana misuli ya shingo

🌟Ina viwango tofauti tofauti vya massage

Bei:60000

Jinsi ya kutumia
👉🏼Vaa kifaa shingoni
👉🏼Washa na chagua kiwango cha massager kinachokufaa

call/WhatsApp:0715175702

Location:mlimani tower opp na mlimani city

Tunafanya delivery tanzania nzima kwa uaminifu mkubwa sanacall/WhatsApp:0715175702Location:mlimani tower opp na mlimani ...
23/07/2026

Tunafanya delivery tanzania nzima kwa uaminifu mkubwa sana

call/WhatsApp:0715175702

Location:mlimani tower opp na mlimani city

20/07/2026

Massage pillow

Bei:60000

Hiki ni kifaa cha massager kinachosaidia kupunguza maumivu ya misuli,kukaza kwa misuli pamoja na uchovu wa mwili

Faida za massage pillow;

✨Hupunguza maumivu ya shingo na mabega

✨Huondoa maumivu ya mgogo wa juu na wa chini

✨Huboresha mzunguko mzuri wa damu kwa eneo linalofanyiwa massage

✨Hupunguza msongo wa mawazo

✨Husaidia kupunguza kukak**aa kwa misuli

✨Ni rahisi kutumia nyumbani,ofisini au ndani ya gari

Ina wafaa watu wafuatao;
👉🏼Waofanya kazi za kukaa muda mrefu
👉🏼Madereva wanaoendesha kwa muda mrefu
👉🏼Waobeba mzigo na kufanya kazi za nguvu
👉🏼Wazee wenye changamoto ya misuli kukaza
👉🏼Waohitaji kupunguza uchovu baada ya shughuli za kila siku

Jinsi ya kutumia;
👉🏼Weka massage pillow kwenye eneo lenye maumivu
👉🏼Washa kifaa na utumie ndani ya dakika 20

Bei:60000

Call/WhatsApp:0715175702

Location:mlimani tower opp na mlimani city

wateja wa mikoani tunatuma mzigo kwa uaminifu mkubwa sanaofisi zetu zipo near mlimani tower ambayo ipo opposite na mlima...
20/07/2026

wateja wa mikoani tunatuma mzigo kwa uaminifu mkubwa sana

ofisi zetu zipo near mlimani tower ambayo ipo opposite na mlimani city

call/WhatsApp:0715175702

Location:sinza kumekucha near fine travellers hotel

Mikoa yote tunatuma kwa uaminifu mkubwa sanacall/WhatsApp:0761581573/0711291315Location:mlimani tower
16/07/2026

Mikoa yote tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana

call/WhatsApp:0761581573/0711291315

Location:mlimani tower

15/07/2026

Address

Mlimani Tower Opposite Na Mlimani City
Dar Es Salaam

Telephone

+255715175702

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Luhimbo Store posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Luhimbo Store:

Shortcuts

Share

Category