Misemo uswahilini

Misemo uswahilini �furahi, elimika, jifunze

29/05/2026

Usimuulize aliye kudanganya sababu ya kukudanganya maana atakudanganya tena✍️

29/05/2026

Malipo ya UPENDO ni maumivu 😥

26/05/2026

Usijutie kuwa na moyo 🫀mzuri kumbuka mema yote hurudi na nyongeza

26/05/2026

Muulize aliyekaa kalibu na moto ana ota au anajiunguza

26/05/2026

Ukipigika ukauza mchanga ukifa ⚰️tunakuzika na majani

24/05/2026

Jogoo halei vifaranga🐓

21/05/2026

Macho huanza kuonja kabla ya mdomo✍️

21/05/2026

Hakuna tatizo k**a utasimamisha ambulance 🚑 na kuliza mgonjwa anaendeleaje🧑‍🦯

21/05/2026

Ndani ya miaka yenu minne ya mahusiano Kuna mwengine anatimiza miwili umo umo😄

17/05/2026

Ukiumizwa na maneno ya mjinga maana yake amekutawala akili

17/05/2026

K**a hupeleki chochote nyumbani basi jitahidi usipeleke matatizo✍️

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255718502256

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Misemo uswahilini posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share