afya bora

afya bora Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from afya bora, Grocers, Dar es Salaam.

Changamoto nyingi za   zinaanzia kwenye Mfumo wa Mmengenyo wa chakula (utumbo mkubwa)hivyo ni muhimu kuhakikisha tunawek...
18/10/2022

Changamoto nyingi za zinaanzia kwenye Mfumo wa Mmengenyo wa chakula (utumbo mkubwa)hivyo ni muhimu kuhakikisha tunaweka sawa hii sehemu.

Zipo Dalili nyingi zinazoonyesha kuwa mfumo wako wa mmengenyo wa chakula hauko sawa ikiwa ni pamoja na

🥦Vidonda ya Tumbo
🥦Tumbo kujaa gesi
🥦Kutokupata choo au kupata choo kwa shida hi huwezakupelekea Ugonjwa wa Bawasiri
🥦Choo kinachoambatana na harufu kali sana na Damu
🥦Kiungulia
🥦Kuchoka sana na kulala ovvoovyo
🥦kukosa hamu ya kula
🥦Acid Reflux
🥦Kichefu chefu na kutapika
🥦Ngozi kubadilika na kukosa mvuto
🥦Kuumwa na kichwa mara kwa mara Wasiliana nasi kupata huduma Piga simu/wtsaap 0774067686

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255774067686

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when afya bora posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category