26/04/2023
Hakuna kusumbuka tena juu ya wapi utapata huduma ya juices na smoothieπ€·πΎββοΈ, hakuna umuhimu wa kwenda umbali mrefu ππ½ββοΈ wakati chimbo jipya lipo Goba Center njia ya kwenda Makongo.π€β€οΈ
Huduma Zetu :
π Pizza
π Burger
π₯€ Juice
π¨ MilkShake
πChicken Wraps and wings
Tunakuhakikishia
β
Utakula chakula kisafi.
β
Utakunywa juice safi.
β
Utahudumiwa vizuri.
β
Utatumiwa chakula au kinywaji ulichoagiza.
Piga namba 0762 964748 ili uhudumiwe.