Tuna tengeneza piki×2 za Kuchaji.

Tuna tengeneza piki×2 za Kuchaji. TUNATENGENEZA PIKIPIKI ZA UMEME AU KUCHAJI.

Tunauza pikipiki used za umeme zenye ubora na imara. Tunapatikana Ilala Amana. Simu 0719460697/0688411570
02/05/2026

Tunauza pikipiki used za umeme zenye ubora na imara. Tunapatikana Ilala Amana. Simu 0719460697/0688411570

21/04/2026

Electric bike linkall brand.
Haina kipengele chochote betri na kila kitu kiko vizuri.
Njoo tukupimie betri k**a una mashaka au njoo na na fundi wako akusaidie kuchek.
Simu 0688411570/0719460696.
Tupo Ilala Amana.

12/04/2026
Jipatie electric bike hapa kwetu isiyo na mbamba wala kipengele chochote na kwa bei nafuu kabisa. Hii bike ina betri 6 z...
10/04/2026

Jipatie electric bike hapa kwetu isiyo na mbamba wala kipengele chochote na kwa bei nafuu kabisa.
Hii bike ina betri 6 za 12V32Ah hivyo;
Inatembea km 70-80
Speed 60-75
Charger ipo
Bei ni 1350000
Ruksa kuja ofcn kukagua k**a yaliyomo yamo.
Tupo Ilala Amana kwa fundi Kalulu mtaa wa Uhuru na Tukuyu.
Simu, 0688411570/0719460696.

Hi pikipiki naiuza bei ya kutupa, haina kipengele chochote. Njoo na  laki 950000 tu uanze kutembelea usafiri wako, maana...
05/02/2026

Hi pikipiki naiuza bei ya kutupa, haina kipengele chochote. Njoo na laki 950000 tu uanze kutembelea usafiri wako, maana mjin usafiri ni kipengele. Cm 0719460696/0688411570

Pikipiki ya umeme used ipo kwenye hali nzuri. Ina betri 4 pia unaweza ukaongeza mpaka kufika betri 6.Inatembea km 50-70....
11/01/2026

Pikipiki ya umeme used ipo kwenye hali nzuri. Ina betri 4 pia unaweza ukaongeza mpaka kufika betri 6.
Inatembea km 50-70. Pia unaweza kuitia kwa kubeba mizigo yako ya dukan au usafiri wa kutembelea kwenda kazini.
Cm 0719460696/0688411570

Jipatie pikipiki ya kuchaji iliyotumika lakin imenyooka isiyo na kipengele chochote.Yaan unawasha na kuondoka tu. Ina be...
21/12/2025

Jipatie pikipiki ya kuchaji iliyotumika lakin imenyooka isiyo na kipengele chochote.Yaan unawasha na kuondoka tu. Ina betri 4 zote mpyaa, inatembea km 45-55. Wahi sasa kwan bike used ni chache. Tunapatikana Ilala Amana, kwa simu namba; 0719460696/068841170

18/12/2025

Address

Ilala Amana
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255719460696

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tuna tengeneza piki×2 za Kuchaji. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tuna tengeneza piki×2 za Kuchaji.:

Share