Masi Shamba

Masi Shamba pata utaalamu kuhusu ufugaji samaki
Ufugaji samaki wenye tija Fuga samaki kibiashara.

14/03/2026

Hamna mtaji

20/10/2025

Unalinda vipi samaki wako na kuku?
jipatie nyavu za ulinzi dhidi ya ndege hatari.
Jipatie nyavu ya mita 70 kwa mita moja 1 kwa Tsh 35,000, pia tunatos huduma ya kuunganisha nyavu.
Weka oda kupitia 0756003378

20/10/2025

Vyavu za ulinzi.
Unalinda vipi samaki wako na kuku?
jipatie nyavu za ulinzi dhidi ya ndege hatari.
Jipatie vyavu ya mita 70 kwa mita moja 1 kwa Tsh 35,000, pia tunatos huduma ya kuunganisha vyavu.
Weka oda kupitia 0756003378

Ufugaji samaki kitaalamu.ufugaji samaki una utaratibu wake, namna ya kulisha, jinsi ya kubadilisha maji na ufugaji kwa u...
19/10/2025

Ufugaji samaki kitaalamu.
ufugaji samaki una utaratibu wake, namna ya kulisha, jinsi ya kubadilisha maji na ufugaji kwa ujumla.
Jipatie Muongozo wa ufugaji samaki kuanzia uchimbaji mabwawa, ujenzi, ulishaji, uchaguaji samaki, idadi ya kupanda bwawani na gharama za uwekezaji.
Jipatie Muongozo huu kwa punguzo la Tsh 9990/= tu. Na utapata vitabu vitatu vya ziada
1. Ulishaji na utengenezaji chakula.
2. Ufugaji samaki katika mabwawa.
3. ufugaji samaki katika vizimba.
Tuma SMS "kitabu" kwenda whatsApp No 0756003378.
Karibu tuelimike pamoja.

kambale dume, huwa anajinsia ya kiume yenye urefu, wasomi wanaiita elongated papilla. Ufugaji kambale unahusisha Ufugaji...
01/09/2025

kambale dume, huwa anajinsia ya kiume yenye urefu, wasomi wanaiita elongated papilla. Ufugaji kambale unahusisha Ufugaji wa madume na majike hii ni kwa sababu hawazaliani kwenye maji yaliyo tuama hivyo haina haja ya kuzalisha jinsia moja tu, sifa nyingine ya kambale dume ni kwamba huwa warefu na wembamba lakini jike ni kinyume chake.
Unataka kufuga kambale?
0778003378

29/08/2025

Tunakusafirishia samaki popote ulipo, sasa unaweza weka oda yako na kukuandalia ndani ya saa 48.
karibu

Tunafikisha unalipa.Unalipa tunafikisha.Tupo kazini, karibu kwa huduma za samaki.
25/08/2025

Tunafikisha unalipa.
Unalipa tunafikisha.
Tupo kazini, karibu kwa huduma za samaki.

Tunafikisha unalipia.Unalipia tunafikisha.Tupo kazini.
25/08/2025

Tunafikisha unalipia.
Unalipia tunafikisha.
Tupo kazini.

23/08/2025

Mteja unakuja lini?

Address

Bunju
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Masi Shamba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Masi Shamba:

Share

Category