Veromakuku company

Veromakuku company watotoleshaji wa vifaranga na wauzaji wa kuku wa kienyeji mbegu kubwa

31/03/2023

Mungu ibariki kazi ya Mikono yangu

02/03/2023
Jipatie Vifaranga wa Kienyeji Pure Mbegu Kubwa Kuanzia Vifaranga wa Siku Moja mpaka Mwezi Mmoja.    Vifaranga wa Siku Sh...
02/03/2023

Jipatie Vifaranga wa Kienyeji Pure Mbegu Kubwa Kuanzia Vifaranga wa Siku Moja mpaka Mwezi Mmoja.
Vifaranga wa Siku Sh 1500
Vifaranga wa Wiki Sh 3500
Vifaranga wa Wiki Mbili Sh 4000
Vifaranga wa Wiki Tatu Sh 4500
Vifaranga wa Wiki Nne Sh 5000
Wanataga, Wana atamia, Wana totoa.
Wanaanza kutaga wakiwa na umri wa Miezi Minne
Tunapatikana KIMARA S**A GOLANI
Na Mikoani tunasafirisha kwa Sh 2000 kwakila Kifaranga.
0657777858 WHATSSAP
0787956332
0755107554
KARIBU UWEKE ODA YAKO MAPEMA.
KARIBU TUFUGE KWA FAIDA.

Jipatie Vifaranga Bora wa Kienyeji Pure Mbegu Kubwa 🐔 wa Mwezi Mmoja Kwa Sh 5000 tu Wana chanjo ya Marek'sNewcastleGombo...
22/02/2023

Jipatie Vifaranga Bora wa Kienyeji Pure Mbegu Kubwa 🐔 wa Mwezi Mmoja Kwa Sh 5000 tu
Wana chanjo ya
Marek's
Newcastle
Gomboro
Ndui
Newcastle ya marudio
Wanataga wanaatamia nakutotoa. Wanataga kuanzia miezi minne mpaka mitano
Tunapatikana KIMARA S**A GOLANI
0657777858
0787956332
0755107554
Karibu uweke Oda yako mapema
Tutakupatia na elimu ya Ufugaji

06/02/2023

Mzigo wa Vifaranga wa Kienyeji Pure Mbegu Kubwa unaandaliwa tayari kwa kwenda Chanika Dar es Salaam kwa mteja. Karibu na wew tukuhudumie 0657777858

05/02/2023

Mzigo wa Vifaranga wa mwezi ukiandaliwa tayari kwa kwenda kwa mteja

05/02/2023

Karibu Sh 15000 tu. Nipo KIMARA S**A GOLANI. Ni kienyeji pure Mbegu Kubwa. 0657777858

19/01/2023

Mzigo wa VIFARANGA VYA KIENYEJI PURE unaelekea Iringa. Mikoani tunasafirisha kwa uaminifu mkubwa. Tunapatikana KIMARA S**A GOLANI DAR ES SALAAM. 0657777858

VIFARANGA VYA MWEZI MMOJA KUKU WA KIENYEJI MBEGU KUBWA VIPO KWA IDADI UNAYOIHITAJIKuanzia vifaranga 10  Tsh. 5000/= kila...
11/01/2023

VIFARANGA VYA MWEZI MMOJA KUKU WA KIENYEJI MBEGU KUBWA VIPO KWA
IDADI UNAYOIHITAJI

Kuanzia vifaranga 10 Tsh. 5000/= kila kifaranga.1

📱>0657777858
>0787956332

SIFA ZA HAWA KUKU🐥🐥🐓🐓

➡️Wanataga mayai 250-280 kwa mwaka
➡️Wanataga, wanaatamia na kulea vifaranga
➡️Wanaanza kutaga wakifikisha miezi 3 - 5
➡️Wanapata uzito haraka.
➡️Wanafugika kwenye joto na kwenye baridi.
➡️Mayai na Nyama ya kuku hawa ni tamu sana.
➡️Wanahimili sana magonjwa

Mhimu zaidi tayari wamesha patiwa chanjo
zote za awali.

Tupo Dar es Salaam KIMARA S**A GOLANI

𝗠𝗔𝗪𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜𝗔𝗡𝗢
📱>0657777858
>0787956332

NB:KUFUGA NI RAHISI SANA
KWA FAIDA
WA KIENYEJI

Address

Kimara Suka
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 06:00 - 18:00
Tuesday 06:00 - 18:00
Wednesday 06:00 - 18:00
Thursday 06:00 - 18:00
Friday 06:00 - 18:00
Saturday 06:00 - 18:00
Sunday 06:00 - 18:00

Telephone

+255787956332

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Veromakuku company posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category