Balizi ltd

Balizi ltd Wasiliana na Baliz supplier kwa mahitaji ya wa kienyeji, , na wakati wowote tutakusaidia kwa haraka.

Tunawasaidia watu wenye uhitaji wa Kuku wa kienyeji, Mbuzi na kondoo kwa matumizi ya nyama, kufuga au biashara; kwa kuwasambazia mahali walipo na kwa wakati sahihi ili kuwaokolea muda wao wa kuweza kuendelea na majukumu mengine. Huduma zetu ni kumsaidia mteja kupata kila anacho stahili kwa wakati sahihi na mahali popote alipo.

Address

Box 72250, Pugu Livestock Marketing Area, Pugu Station Street, Ilala
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255652776451

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Balizi ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Balizi ltd:

Share