Hoch Company Limited

Hoch Company Limited Tunauza na kusambaza vifaa vya ufugaji kuku kisasa na tunatoa mafunzo ya ufugaji kibiashara.

karibuni sana
02/07/2026

karibuni sana

karibuni sana katika banda letu lililopo saba saba.
29/06/2026

karibuni sana katika banda letu lililopo saba saba.

Ufugaji wa kuku wa nyama na kuku wa mayai kupitia mabanda ya cage’s  au vizimba imekuwa gumzo sana sikuizi.Na hii nikuto...
18/06/2026

Ufugaji wa kuku wa nyama na kuku wa mayai kupitia mabanda ya cage’s au vizimba imekuwa gumzo sana sikuizi.

Na hii nikutokona na Ufugaji kugundua kuwa changamoto za ufugaji zinapungua kwa asilimia kubwa.

HOCH COMPANY tunauza cage’s za kuku wa mayai na kuku wa nyama.

Cage’s hizi tunazo za vifaranga na kuku wakubwa.

KWANINI UNAPASWA KUTUMIA CAGE’S KATIKA UFUGAJI WAKO??

▪︎zinasaidia kufuga kuku wengi katika eneo dogo.

▪︎zinazuia upotevu wa chakula na maji.

▪︎Unatumia muda mchache kuhudumia kuku wengi Hivyo huokoa hadi 85% ya
muda.

▪︎Upunguza athari ya magonjwa ya kuambukiza.

▪︎Ni rahisi kujua idadi ya kuku wako.

▪︎Inarahisisha zoezi la ukusanyaji mayai.

▪︎Inarahisisha zoezi la kusafisha na ukusanyaji mbolea.

▪︎zinaongeza na kuimarisha uzalishaji.

▪︎Kuku hubaki wakiwa wanatabasamu muda wote Hivyo huwa afya njema.

UTOFAUTI WA CAGE’S ZETU NA CAGE’S ZINGINE.

▪︎Zimeundwa na material magumu na imara sana Hivyo hazilemewi na uzito wa kuku.

▪︎Hazishiki kutu kabisa.

▪︎Zinakuja na mfumo wa chakula na maji wenye ubora wa hali ya juu.

▪︎Zinauwezo wa kudumu zaidi ya miaka 15 Bila kuharibika.

UKINUNUA CAGE’S HOCH COMPANY SISI TUTAKUPA HUDUMA YA UFUNDI BUREE.

▪︎TUTAKUTAFUTIA MASOKO YA MAZAO YAKO.

▪︎ELIMU YA KITAALAMU YA UFUGAJI BUREEE.

▪︎USIMAMIZI WA MRADI WAKO.

Wateja wa Dar es salaam Tunafanya delivery na wateja wamikoani Unachangia nauli.

Au tupigie +255 783 537 497

WhatsApp 0678257545.

tunapatikana kijitonyama karibu kabisa na sekondary ya salma kikwete

KARIBU SANA TUKUHUDUMIE.

HOCH COMPANY LIMITED
HOCH COMPANY LIMITED Ufugajikibiashara kukufaida hochNiMkombozi.

Heri ya sikukuu ya wafanyakazi
01/05/2026

Heri ya sikukuu ya wafanyakazi

07/04/2026
05/03/2026

Broiler cage.

05/03/2026

vifaranga bora kabisa wa kuku wa nyama wanapatikana Hoch company limited tunapatikana Dar es salaam kijitonyama karibu kabisa na sekondari ya salma kikwete.

.

15/02/2026

OFA OFA OFA KWA WAFUGAJI WA KUKU WA MAYAI YAANI LAYERS.

Ni ofa kabambe kutoka HOCH COMPANY ambapo tunakuongezea nguvu Wewe mteja wetu katika ufugaji wako kupitia mabanda ya kisasa yaani [CAGES] Kwa ofa Ya 700,000 Tu utajipatia cage inayobeba kuku 128 kwa maramoja.

* Cage zetu ni imara na zinadumu kwa muda mrefu sana ,
* zimeundwa na matirial magumu na imara sana hivyo hazielemewi na uzito wa kuku.

* zinadumu zaidi ya miaka 15 bila kuharibika.

* zinakuja na mfumo wa maji na chakula wenye ubora wa hali ya juu.
Hatuja ishia hapo kwani ukichukua cages kwetu hautalipa gharama za ufundi utafungiwa buure kabisa.

TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM KIJITONYAMA
KARIBU NA SEKONDARI YA SALMA KIKWETE.
Kwa mawasiliano Zaidi tupigie.
CALL.0712565636
Whatsapp 0678257545

HOCH COMPANY .- tunatoa ofa ya punguzo kubwa la bei ya mabanda ya kisasa (cages) kwa wateja wetu.tuna contena la cages  ...
22/01/2026

HOCH COMPANY .
- tunatoa ofa ya punguzo kubwa la bei ya mabanda ya kisasa (cages) kwa wateja wetu.

tuna contena la cages ambapo kila cage moja inaingiza kuku 128 ambalo tunatarajia kulipokea tarehe 15/01/2026 , ambapo mteja atatakiwa kulipa 70%ya mzigo anaochukua halafu baada yakupokea mzigo anamalizia 30% iliyobaki.

- malipo ya 70% yanafanyika kuaznzia tarehe 01/01/2026 mpaka tarehe 25/01/2026 .
- Wahi ofa hii kabla haijakupita maana utajipatia cages kwa bei ya 680,000 😋tu inayoingiza kuku 128 kwa maramoja badala ya 800,000.
- ukinunua cages kwetu ofa ya kufungiwa ni buure kabisa .

Tunapatikana dar es salaam kijitonyama karibu na sekondary ya salma kikwete .

Call 0712565636
whattsup 0678257545.

Address

Kijitonyama
Dar Es Salaam
11000

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00

Telephone

+255783537497

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hoch Company Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Hoch Company Limited:

Shortcuts

Share

Category