16/12/2024
Mboga ya Christmas tuachie sisi !!!!!!!
Karibu ujipatie Kuku mzima pamoja na vipande vyake vilivyosafishwa katika usafi wa hali ya juu na vyenye ladha ya kipekee kabisa .
Tupigie simu kwenda namba : +255 712 482 737
_________________
BEI ZA BIDHAA ZETU
1) Kuku 1kg bei TSH 8,500/=
Kuku 1.5kg bei TSH 14,000/=
2) Drumsticks/mapaja 1kg bei TSH 9,000/=
3) Thigh/paja la juu la kuku 1kg bei TSH 9,000/=
4) Quarter leg / Robo ya paja 1kg bei TSH 9,000/=
5) Firigisi 1/2kg bei TSH 5,500/=
6) Wings/ Vipapatio 1kg bei TSH 12,000/=
7) Breast/ Vidari 1kg bei TSH 15,000/=
8) Vidari vyenye mfupa 1kg bei 8,500/=
9) Maini 1kg bei TSH 5,000/=
10) Miguu ya kuku 1kg bei TSH 4,500/=
11) Vichwa vya kuku 1kg bei TSH 3,000/=
12) Shingo za kuku 1/2kg bei 3,000/=
13) Migongo ya kuku 1kg bei 5,000/=
14) Soseji za kuku Pc 16 bei 8,000/=
15) Soseji za ng'ombe Pc 16 bei 8,500/=
16) Soseji za ng'ombe Pc 50 bei 24,000/=
17) Alpha Soseji za ng'ombe Pc 16 bei 7,000/=
18) Choma soseji Pc 8 bei 11,000/=
19) Nyama ya kusaga ya ng'ombe 1/2kg bei 7,000/=
20) Kuku wa kienyeji asili
✓ Tetea TSH 25,000/=
✓ Jogoo TSH 28,000/=
21. Mayai ya kienyeji asili trei 1 bei 18,000/=
22. Utumbo wa kuku 1kg bei 4,000.
📍Tunapatikana Kimara S**a, kituoni tunatizamana na Tawi la Yanga S**a.
Kwa mawasiliano zaidi : +255 712 482 737
✅ Delivery ipo kwa gharama za mteja .