21/06/2023
Hellow..!! Siagi yetu ipo katika ujazo tofauti, ni raini sanaa, unaweza paka kwenye mkate,ukatumia kwenye uji, mbogamboga, na vyakula vyote vinavyotengenezwa kwa ngano.
Karbuni sanaa kwa order, tunafanya delivery Popote ulipo 🥜🥜😋😋