Aquinus Poultry FARM

Aquinus Poultry FARM Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Aquinus Poultry FARM, Farm, KIJITONYAMA, AKACHUBE Road, GAMBIA STREET, HOUSE NO. 4, Dar es Salaam.

โ€ขWazalishaji wa Vifaranga vya kuku wa kienyeji mbegu kubwa pamoja na Brahma.

โ€ขAidha tunauza chakula cha kuku.

โ€ขPIA TUNAUZA VITABU VINAVYO TOA MUONGOZO SAHIHI YA UFUGAJI WA KUKU.

โ€ขTupo Dar es salaam Kijitonyama

๐—ž๐—”๐— ๐—ฃ๐—จ๐—ก๐—œ :โ€ขAquinus Poultry Farms.๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐—•๐—œ๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—ฅ๐—” : โ€ขTunauza vifaranga vya kuku wa kienyeji mbegu kubwa vya siku na vya mwezi m...
14/08/2026

๐—ž๐—”๐— ๐—ฃ๐—จ๐—ก๐—œ :
โ€ขAquinus Poultry Farms.๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

๐—•๐—œ๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—ฅ๐—” :
โ€ขTunauza vifaranga vya kuku wa kienyeji mbegu kubwa vya siku na vya mwezi mmoja.

โ€ขTunauza vifaranga vya kuku (Brahma) vya siku na vya mwezi mmoja.

โ€ขTunauza vitabu vyenye mafunzo ya ufugaji wa kuku wa kienyeji mbegu kubwa kibiashara.

โ€ขTunauza chakula cha kuku chenye virutubisho vyote kwa kuku husika.

๐—ข๐—™๐—œ๐—ฆ๐—œ :
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟTunapatikana Dar es salaam Kijitonyama, Barabara ya Akachube, Mtaa wa Gambia, Nyumba No.4 wanapo uza kuku.

๐— ๐—”๐—ช๐—”๐—ฆ๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—”๐—ก๐—ข :
โ€ข0655347932 (WhatsApp/Call)
โ€ข0716144580
โ€ข0766953551

Hapo ukifanya uzembe wote wanatangulia mbele za haki, wewe unabaki kulaani ufugaji kumbe ulikuwa mzembe๐ŸคฉOFISI ZETU ZIPO ...
14/08/2026

Hapo ukifanya uzembe wote wanatangulia mbele za haki, wewe unabaki kulaani ufugaji kumbe ulikuwa mzembe๐Ÿคฉ

OFISI ZETU ZIPO DAR ES SALAAM KIJITONYAMA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

-0684414834 ||KAWAIDA||
-0655347932 ||WHATSAPP||

||BEI ZETU ZA VIFARANGA VYA KUKU WA KIENYEJI MBEGU KUBWA||โ€ขVifaranga vya siku .2000 - 3000 kutokana na mkoa uliopo mteja...
13/08/2026

||BEI ZETU ZA VIFARANGA VYA KUKU WA KIENYEJI MBEGU KUBWA||

โ€ขVifaranga vya siku .2000 - 3000 kutokana na mkoa uliopo mteja wetu.

โ€ขVifaranga vya wiki .3000

โ€ขVifaranga vya mwezi .6000

Vifaranga vyetu utauziwa vikiwa vimepata chanjo zote za awaliโœ…

-0684414834 ||KAWAIDA||
-0655347932 ||WHATSAPP||

Ofisi zetu zipo Dar es salaam Kijitonyama barabara ya Akachube Mtaa wa Gambia nyumba No 4 wanapo uza kuku.

MIKOANI TUNASAFIRISHA๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโœ…

||๐—ฉ๐—œ๐—™๐—”๐—ฅ๐—”๐—ก๐—š๐—” ๐—ฉ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ž๐—จ ๐—ช๐—” ๐—ž๐—œ๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜๐—๐—œ||Tunauza Vifaranga Bora kabisa vya Kuku wa Kienyeji Mbegu Kubwa Pure. Vifaranga vyetu v...
13/08/2026

||๐—ฉ๐—œ๐—™๐—”๐—ฅ๐—”๐—ก๐—š๐—” ๐—ฉ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ž๐—จ ๐—ช๐—” ๐—ž๐—œ๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜๐—๐—œ||

Tunauza Vifaranga Bora kabisa vya Kuku wa Kienyeji Mbegu Kubwa Pure. Vifaranga vyetu vimesha patiwa chanjo zote za awali.

Unaweza kupata vifaranga kutoka popote pale ulipo Tanzania tutakufikishia (Chukua mawasiliano)

||๐— ๐—”๐—›๐—”๐—Ÿ๐—œ ๐—ง๐—จ๐—Ÿ๐—œ๐—ฃ๐—ข ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ||

Ofisi zetu zipo Dar es Salaam, ๐™†๐™„๐™…๐™„๐™๐™Š๐™‰๐™”๐˜ผ๐™ˆ๐˜ผ, Barabara ya Akachube, Mtaa wa Gambia, Nyumba No 4, wanapo uza kuku. Ni karibu na kituo cha daladala Makumbusho.

||๐—ฆ๐—œ๐—™๐—” ๐—ญ๐—” ๐—›๐—”๐—ช๐—” ๐—ž๐—จ๐—ž๐—จ||

โžก๏ธWanataga mayai 250-280 kwa mwaka.
โžก๏ธWanataga, wanaatamia na kulea vifaranga.
โžก๏ธWanaanza kutaga wakifikisha miezi 3 - 5.
โžก๏ธWanapata uzito haraka.
โžก๏ธWanafugika kwenye joto na kwenye baridi.
โžก๏ธMayai na Nyama ya kuku hawa ni tamu sana.
โžก๏ธWanahimili sana magonjwa.
โžก๏ธWamepatiwa chanjo ya awali ya Mareks'.

||๐—•๐—˜๐—œ ๐—ญ๐—˜๐—ง๐—จ ๐—ก๐—œ||

- ๐™‘๐™ž๐™›๐™–๐™ง๐™–๐™ฃ๐™œ๐™– ๐™ซ๐™ฎ๐™– ๐™จ๐™ž๐™ ๐™ช ni Tsh 2,000 kwa wateja wa Dar es Salaam na Tsh 2,200 hadi 3,000 kwa mikoani kwa kila kifaranga.

๐— ๐—›๐—œ๐— ๐—จ:
- Utapewa mwongozo wa kuwafuga vifaranga utakaochukua.
- Utaungwa kwenye group la WhatsApp la wateja wetu.

๐— ๐—”๐—ช๐—”๐—ฆ๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—”๐—ก๐—ข ๐Ÿ“ฑ
0655347932 Sms/WhatsApp
0684414834
0716144580

WATEJA WETU HABARI, ODA YA VIFARANGA VYA SIKU VYA KUKU WA KIENYEJI MBEGU KUBWA SASA IPO TAREHE 06/09/2026 ๐Ÿ”ฅVifaranga vye...
13/08/2026

WATEJA WETU HABARI, ODA YA VIFARANGA VYA SIKU VYA KUKU WA KIENYEJI MBEGU KUBWA SASA IPO TAREHE 06/09/2026 ๐Ÿ”ฅ

Vifaranga vyetu utauziwa vikiwa vimepata chanjo zote za awaliโœ… weka ODA

Bei Tsh.2,000 hadi Tsh.3,000 kulingana na mkoa uliopo.

0684414834|| CALL
0655347932|| WHATSAPP

Ofisi zetu zipo Dar es salaam Kijitonyama barabara ya Akachube Mtaa wa Gambia nyumba No 4 wanapo uza kuku.

MIKOANI TUNASAFIRISHA๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโœ…

KWA WANAO HITAJI VIFARANGA VYA MWEZI VYA KUKU WA KIENYEJI MBEGU KUBWA ODA IPO TAREHE 30/09/2026Vifaranga vyetu ni vizuri...
12/08/2026

KWA WANAO HITAJI VIFARANGA VYA MWEZI VYA KUKU WA KIENYEJI MBEGU KUBWA ODA IPO TAREHE 30/09/2026

Vifaranga vyetu ni vizuri utauziwa vikiwa vimepata chanjo zote za awaliโœ… na vina afya nzuri kabisa. weka ODA

โ€ขMwongozo wa kufuga utapewa.

โ€ขBei Tsh.6,000 tu popote ulipo ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

โ€ข0684414834|| CALL
โ€ข0655347932|| WHATSAPP

Ofisi zetu zipo Dar es salaam Kijitonyama barabara ya Akachube Mtaa wa Gambia nyumba No 4 wanapo uza kuku.

MIKOANI TUNASAFIRISHA๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโœ…

11/08/2026

Nani ana challenge kuhusiana na ufugaji wa kuku tuje nayo kesho.

Hawa kuku ni FULL SOKSI hadi miguuni, ni wazuri mno ukiwa nao nyumbani.
11/08/2026

Hawa kuku ni FULL SOKSI hadi miguuni, ni wazuri mno ukiwa nao nyumbani.

Address

KIJITONYAMA, AKACHUBE Road, GAMBIA STREET, HOUSE NO. 4
Dar Es Salaam

Telephone

+255655347932

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Aquinus Poultry FARM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category