Yusrah healthline

Yusrah healthline Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Yusrah healthline, Grocers, Ilala, Dar es Salaam.

🌿 Men’s Fertility & Performance Expert
💪 Pona changamoto za nguvu za kiume
🧬 Mbegu | Tezi Dume | Kuwahi Kufika
📍 Dar es Salaam – Tanzania
📲 WhatsApp: +255745091985
Delivery worldwide🇨🇦🇺🇸🇦🇺🇬🇧🌍🌎

26/08/2026

Ushauri/Tiba
+255745091985

25/08/2026

Usitumie k**a huna mkee
+255745091985

25/08/2026

🚨 NGUVU ZA KIUME ZIMEPUNGUA? USIPUUZE!

Uume kutosimama vizuri, nguvu kukatika wakati wa tendo au kumaliza haraka? 😟

🔥 Usikubali hali hii iendelee!

📲 YUSRAH HEALTHLINE
+255 745 091 985

24/08/2026

Bawasiri, Pressure & Sukari 🚨

Bawasiri, presha na sukari vinaweza kuathiri uwezo wa mwanaume kufanya vizuri kitandani. Hasa presha na sukari zisipodhibitiwa, zinaweza kuathiri mishipa ya damu na mtiririko wa damu unaohitajika kwa uume kusimama vizuri.

Usikae kimya ukiona nguvu zinapungua, uume hausimami vizuri au unashindwa kudumu. Anza kutafuta chanzo cha tatizo, si kuficha dalili.

💚 YUSRAH HEALTHLINE tupo kukushauri na kukuongoza kulingana na changamoto yako.

📲 WhatsApp/Call: +255 745 091 985

Usisubiri tatizo likue ndipo uanze kuchukua hatua.

24/08/2026

🔥 UNAJUA TIBA SAHIHI YA NGUVU ZA KIUME INAVYOFANYA KAZI?

Tiba sahihi haifanyi kazi kwa “kuongeza nguvu” kwa muda tu. Inalenga kuboresha mambo muhimu yanayohusika na uume kusimama na kudumu:

🩸 Huboresha mtiririko wa damu kuelekea kwenye uume.
🧠 Husaidia mwitikio wa mwili na msisimko wa tendo.
⚙️ Hulenga changamoto inayosababisha kushindwa kusimamisha au kudumisha uume.
💪 Matokeo yake yanaweza kuwa uwezo bora wa kupata na kudumisha erection—kutegemea chanzo cha tatizo.

⚠️ Usitumie dawa kiholela. Tiba inapaswa kuchaguliwa kulingana na hali na chanzo cha tatizo.

📲 Wasiliana na YUSRAH HEALTHLINE kwa ushauri wa kitaalamu/Tiba +255745091985

22/08/2026

TEZI DUME KWA MWANAUME 40+ 🚨

Ukifika miaka 40+, usipuuzie mabadiliko ya kukojoa k**a kukojoa mara kwa mara, kuamka usiku kwenda haja ndogo, mkojo kutoka kwa kusuasua au kuhisi kibofu hakijaisha.

Hizi zinaweza kuhusishwa na matatizo ya tezi dume na zinahitaji kufanyiwa tathmini mapema.

👉 Usisubiri tatizo likawa kubwa. Wasiliana na YUSRAH HEALTHLINE kwa ushauri na mwongozo wa hatua sahihi.

📲 WhatsApp/Simu: +255 745 091 985

22/08/2026

NDOA YAKE ILIFIKA HATUA YA KUVUNJIKA 💔

Aliteseka kwa muda mrefu na tatizo la tezi dume. Hali yake ikaendelea kuathiri maisha yake ya kila siku na ndoa yake, mpaka ndoa ikafika kwenye hatua ya kuvunjika.

Lakini baada ya kuwasiliana na YUSRAH HEALTHLINE, alipata ushauri na kuanza kutumia package iliyopendekezwa kulingana na hali yake. 🙏

Leo anasema maisha yake yameanza kubadilika. ❤️

⚠️ Usisubiri tatizo la tezi dume likufikie hatua ya kuathiri ndoa yako.

📲 Wasiliana na YUSRAH HEALTHLINE:
+255 745 091 985

21/08/2026

🔥 UKIFIKA MIAKA 40+, HAYA SIYO YA KUCHUKULIA POA!

1️⃣ Punguza sukari na vyakula vya mafuta mengi — mwili hauko k**a wa miaka 20.

2️⃣ Fanya mazoezi mara kwa mara — usisubiri nguvu zipungue ndipo uanze.

3️⃣ Lala masaa ya kutosha — usingizi duni unaweza kuathiri nguvu na afya kwa ujumla.

4️⃣ Dhibiti stress — stress ya muda mrefu inaweza kuathiri afya ya moyo na utendaji wa mwili.

5️⃣ Fuatilia presha, sukari na uzito wako — usisubiri dalili kali.

6️⃣ Usipuuze mabadiliko kwenye nguvu za kiume au kukojoa — yanaweza kuhitaji uchunguzi.

🚨 Miaka 40+ si mwisho wa nguvu. Ni umri wa kuanza kuichukulia afya yako kwa umakini zaidi!

📲 Una changamoto? Tuma DM sasa.
+255745091985

21/08/2026

🚨 MBEGU ZA KIUME ZIKOJE? USIPUUZE UBORA WAKE!

K**a unatafuta mtoto lakini muda unapita bila mafanikio, ni muhimu kuangalia idadi, mwendo na ubora wa mbegu za kiume. 💯

Usibahatishie afya yako kwa kutumia vitu bila kujua tatizo. Fanya tathmini ya afya ya uzazi na ujue hali halisi ya mbegu zako.

📲 Unahitaji ushauri au tathmini? Tuma DM neno “MBEGU” au WhatsApp sasa.
+255745091985

👉 Anza kuchukua hatua leo—usisubiri mpaka tatizo liwe kubwa.

21/08/2026

🚨 KORODANI IMEVIMBA NA INAUMA? USIKAe KIMYA!

Kuvimba na kuuma kwa korodani kunaweza kuwa na sababu mbalimbali, na si vizuri kujitibu bila kujua chanzo.

⚠️ K**a una maumivu, uvimbe, uzito kwenye korodani au mabadiliko yasiyo ya kawaida, usisubiri hali iwe mbaya.

📲 Tunahudumia wanaume wenye changamoto hizi na tunaanza kwa kupata maelezo ya dalili zako.

👉 DM neno “KORODANI” kwa maelekezo ya hatua inayofuata.
+255745091985

Address

Ilala
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yusrah healthline posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category