The best juice tz

The best juice tz Ni kampuni bora yanayotengeneza juisi freshi isiyo na kemikali na kuisambaza kwa wateja kwa matumizi

19/04/2022

Aksanteni sana wateja wetu wa pasaka Mungu awabariki!! Aksanteni kwa kutuamini aksanteni sana.... Tunaendelea kupokea order kwa ajili ya kufuturu na Idd El Fitr
Tupigie 0755969613/0655969614

Tunaendelea kupokea order kwa ajili ya sikukuu ya pasaka,  tafadhali toa order yako mapema ili kuepuka usumbufu... juice...
05/04/2022

Tunaendelea kupokea order kwa ajili ya sikukuu ya pasaka, tafadhali toa order yako mapema ili kuepuka usumbufu... juice dumu ni sh 30,000/- tunakuletea popote ulipo... tupigie 0755969613/0655969614 juice yetu inatengezwa kwa matunda halisi bila kuweka preservatives na huwa hatilazi juice unatengezewe siku unayoletewa karibu sana

Kutengeneza juice kunajumuisha kazi nyingi kununua matunda, kuosha, kumenya, kusaga, kuosha vyombo na kuhifadhi na kadha...
14/03/2022

Kutengeneza juice kunajumuisha kazi nyingi kununua matunda, kuosha, kumenya, kusaga, kuosha vyombo na kuhifadhi na kadhalika....
Karibu The best Juice Tz tukupunguzie kazi hizo!!!! K**a wewe ni mpenzi wa juice tupigie 0755969613/ 0655969614 tukuandalie na kukuletea
Dumu la lita 5 kwa sh 30,000/-
free delivery
Tunatengeneza juice fresh kabisaaa isiyo na kemikali zisizokua za asili kwa maji safi na salama, yenye ubora wa hali ya juice na yenye virutubisho halisi kutoka kwenye matunda ya juice uipendayo!!!!

You can WhatsApp us through  0755969613
11/03/2022

You can WhatsApp us through 0755969613

Pata juice fresh kutoka kwetu iliyotengenezwa kwa matunda halisi bila kuongeza ladha isiyokua ya asili wala preservative...
07/03/2022

Pata juice fresh kutoka kwetu iliyotengenezwa kwa matunda halisi bila kuongeza ladha isiyokua ya asili wala preservatives!! Hatulazi juice unatengenezewe juice siku unayoletewa!! Dumu k**a hilo ni sh 30,000/- tunakuletea ulipo karibu sana 0755969613/0655969614
The_best_juice_tz

06/03/2022

Juice from us 0755969613/0655969614

Una sherehe yoyote k**a vile kitchen party, send off party, wedding ceremony, birthday party,bridal shower, baby shower,...
04/03/2022

Una sherehe yoyote k**a vile kitchen party, send off party, wedding ceremony, birthday party,bridal shower, baby shower, get together, family gathering na unahitaji fresh juice?? Tupigie kwa simu zetu 0755969613/0655969614 tunakuandalia juice fresh, inayotengenezwa kwa matunda halisi bila kuongeza ladha zisizokua za asili, inakuja ukumbini ya baridi na tunawaservia wageni wetu mpaka shughuli ikiisha!! Karibuni sana

Maliza 2020 Fresh!!!!-Jipatie juisi za laughter quality za lita 5 na lita 3 kwa 30,000/= na 18,000/= sasa zikiwemo za ai...
28/12/2020

Maliza 2020 Fresh!!!!
-
Jipatie juisi za laughter quality za lita 5 na lita 3 kwa 30,000/= na 18,000/= sasa zikiwemo za aina tofauti, ikiwa ni plain, tropical au special. Laughter ipo kwa ajili yako

Weka oda sasa kupitia (+255) 755 969 613‬
#2021

Chaguo Ni Lako🍹-Laughter Quality Product  inakupa bidhaa kadha wa kadha kuchagua za juisi zetuHizi ni laughter plain jui...
23/12/2020

Chaguo Ni Lako🍹
-
Laughter Quality Product inakupa bidhaa kadha wa kadha kuchagua za juisi zetu

Hizi ni laughter plain juices

1. Embe plain
2. Passion plain
3. Nanasi plain
4. Chungwa Plain
5. Parachichi plain
6. Ubuyu plain
7. Ukwaju plain
8. Rosella plain
9. Bungo plain
10. Limao plain
11. Tikiti plain
12. Ndimu plain

Asante Sana!! πŸ™-Tunawashukuru Samweli & Kwesi Kwa kutuchagua  kuwahudumia katika sherehe yao -Ubora na Ladha zaidi      ...
16/12/2020

Asante Sana!! πŸ™
-
Tunawashukuru Samweli & Kwesi Kwa kutuchagua kuwahudumia katika sherehe yao
-
Ubora na Ladha zaidi

WE ARE BACK PEOPLE!!! πŸ”₯πŸ”₯πŸŽπŸ””- tumerudi kwa kishindo zaidi. Ubora maradufu na sasa kwa ujazo wa lita 1,,3,5 na 10.-Wacha la...
16/12/2020

WE ARE BACK PEOPLE!!! πŸ”₯πŸ”₯πŸŽπŸ””
-
tumerudi kwa kishindo zaidi. Ubora maradufu na sasa kwa ujazo wa lita 1,,3,5 na 10.
-
Wacha laughter akuburudishe katika kipindi hichi cha sikukuu

Address

Dar Es Salaam
0

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255755969613

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The best juice tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to The best juice tz:

Share