BORA Bakery and Cakery

BORA Bakery and Cakery We love hood food, we are passionate about life ,we save life through good, health and organic foods from MKANOELI HEALTHFOODS

UNGA wa MKANOELI MIXED FLOUR unafaa kwa uji na ugali. Ni mzuri kwa watu wwnyw sukari, cancer, BP na wanaojali afya zao. ...
22/07/2026

UNGA wa MKANOELI MIXED FLOUR unafaa kwa uji na ugali.
Ni mzuri kwa watu wwnyw sukari, cancer, BP na wanaojali afya zao.
Karibuni sana

Hey. Unatamani that bikini body unaona kwenye movie? Ni rahisi sana. 1. Chagua unachokula2. Zingatia muda wa kula3. Pata...
13/07/2026

Hey. Unatamani that bikini body unaona kwenye movie? Ni rahisi sana.
1. Chagua unachokula
2. Zingatia muda wa kula
3. Pata usingizi wa kutosha
4. Fanya mazoezi kwa kuzingatia kanuni stahiki

MKANOELI HEALTHFOODS..tupo kwa ajili yenu. Service na bidhaa bora za afya.
0762191568.
Dsm Mbezi beach.

WITH LOVE MKANOELI COOKING PASTE.
13/07/2026

WITH LOVE
MKANOELI COOKING PASTE.

UNAKULA KWA SABABU 1. MUDA WA WA KULA UMEFIKA?2. UMEPATA NJAA? Mwili wa binadamu unajua kutuma ujumbe wa kila aina unapo...
11/07/2026

UNAKULA KWA SABABU
1. MUDA WA WA KULA UMEFIKA?
2. UMEPATA NJAA?

Mwili wa binadamu unajua kutuma ujumbe wa kila aina unapokuwa na uhitaji huo. Tunatakiwa kufuata hizo taarifa kwa usahihi.

1. Unywe maji ukiwa na kiu
2. Ule chakula ukiwa na njaa
3. Ulale ukiwa na usingizi

Na mengineyo mengi. Tunapoukatili mwili unafika mahali unachoka na inakulazimu kuanza kufuata kwa lazima katika maumivu na taabu.

SIO LAZIMA KULA MARA 3 KWA SIKU. MARA MOJA INATOSHA. KULA KWA USAHIHI NA MUDA SAHIHI.

MKANOELI HEALTHFOODS. KARIBU TUKUHUDUMIE. 0762191568. DSM

UNAKULA WAKATI GANI? NAMNA GANI? NA NINI?1. Tunatakiwa kula tunapopata njaa ikimaanisha kuwa mwili unahitaji nguvu mpya ...
11/07/2026

UNAKULA WAKATI GANI? NAMNA GANI? NA NINI?

1. Tunatakiwa kula tunapopata njaa ikimaanisha kuwa mwili unahitaji nguvu mpya kutoka kwenye chakula
2. Tunakula kwa kuanza na protini kwanza ndio ifuate aina nyingine ya chakula. Kuzuia kupandisha insulin ya mwili wako ghafla
3. Tunakula tukiwa tumetulia ili tuweze kutafuna vizuri kabla ya kumeza kurahisisha uchakataji wa chakula tumboni vizuri.
4. Lisaa limoja kabla ya kula kunywa maji nusu lita itakusaidia kugundua k**a kweli unahitaji chakula ama mwili ulihitaji maji. Na hivyo kukupunguzia kula bila ulazima ama kutokula sana
5. Jitahidi sana kupunguaza ama kuacha kabisa sukari, wanga mwepesi, pombe na kulakula hovyo. Mlo mmoja mzuri kwa siku unatosha pamoja na maji
6. Maji yako ya kunywa yasiwe tupu, weka chumvi ya mawe ama himalayan salt kidogo na ikiwezekana yawe vuguvugu hasa ya asubuhi.

KWA TIPS ZAIDI..USISAHAU KULIKE, SHARE NA KUFOLLOW.

MKANOELI HEALTH FOODS. AFYA YAKO NDIO KIPAUMBELE CHETU.

Tunapatikana Mbezi beach Dsm 0762191568.

20/06/2026

MKANOELI MIXED FLOUR.

10/04/2026

Ni vipimo na mchanganyiko wenye uwiano uloi makini unakupatia viungo halisi na vitakavyolinda afya vikikupa ladha nzuri

10/04/2026

Mkanoeli tupo kusaidia kufill gapes ziiizopo kwenye lishe ya kila siku.

Enjoy your meal
01/04/2026

Enjoy your meal

Address

Makonde
Dar Es Salaam

Telephone

+255762191568

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BORA Bakery and Cakery posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to BORA Bakery and Cakery:

Shortcuts

Share