EA Foods

EA Foods Food Distribution company with Tech-Enabled logistics, demand and supply chain management.

Moja ya wakulima wetu tukiwa nae shambani kuangalia harakati za uvunaji wa ndizi.One of our farmers, as we join him in t...
31/08/2026

Moja ya wakulima wetu tukiwa nae shambani kuangalia harakati za uvunaji wa ndizi.

One of our farmers, as we join him in the field to witness the banana harvesting process.

Je wajua k**a ukinunua ndizi kutoka kwetu unaletewa hadi kwenye biashara yako bila gharama zozote za usafiri.Did you kno...
28/08/2026

Je wajua k**a ukinunua ndizi kutoka kwetu unaletewa hadi kwenye biashara yako bila gharama zozote za usafiri.

Did you know that when you buy bananas from us, we deliver them directly to your business at no transport cost?

Ndizi kabla haijaliwa, husafishwa kwa maji safi na salama ili kujikinga zidi ya magonjwa na maambukizi ya bacteria.Befor...
28/08/2026

Ndizi kabla haijaliwa, husafishwa kwa maji safi na salama ili kujikinga zidi ya magonjwa na maambukizi ya bacteria.

Before eating bananas, they should be washed with clean and safe water to help protect against diseases and bacterial infections.

EAF inawatakia heri ya sikukuu ya MaulidHappy Maulid Day
25/08/2026

EAF inawatakia heri ya sikukuu ya Maulid

Happy Maulid Day

Heri ya Nane Nane kutoka kwa familia yetu ya EAF.Tunawasherekea wakulima wote wa Tanzania!Kwa huduma bora chagua EAF.Hap...
08/08/2026

Heri ya Nane Nane kutoka kwa familia yetu ya EAF.
Tunawasherekea wakulima wote wa Tanzania!
Kwa huduma bora chagua EAF.

Happy farmers day from our EAF family .
We celebrate every farmer feeding our nation.
For quality service choose EAF.

Tunakuletea ndizi hadi katika biashara yako, na unazikagua kuangalia k**a umeridhika nazo.Karibu EAF tukuhudumie.We deli...
28/07/2026

Tunakuletea ndizi hadi katika biashara yako, na unazikagua kuangalia k**a umeridhika nazo.

Karibu EAF tukuhudumie.
We deliver bananas directly to your business, and you inspect them to ensure you are satisfied.

Welcome to EAF, let us serve you.

20/07/2026
Tupe majibu yako hapa chini.Comment your answer below.
16/07/2026

Tupe majibu yako hapa chini.

Comment your answer below.

14/07/2026

Unapendelea kuanza siku yako na kifungua kinywa gani kati ya hivi.
a. Kahawa kavu au
b. Kahawa iliyochanganywa na maziwa?

Which of these do you prefer to start your day with?
a. Black coffee, or
b. Cappuccino?

Je umeshiba? Maamuzi sahihi hufanywa ukiwa umeshiba. Hakikisha haufanyi maamuzi yoyote ukiwa na njaa, usije ukajilaumu b...
13/07/2026

Je umeshiba? Maamuzi sahihi hufanywa ukiwa umeshiba. Hakikisha haufanyi maamuzi yoyote ukiwa na njaa, usije ukajilaumu badae.

Have you eaten? The best decisions are made on a full stomach. Make sure you don't make any decisions while you're hungry, or you might regret them later.

Address

19th Floor, Mwanga Tower/Bagamoyo Road
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:00 - 04:00
Tuesday 07:00 - 04:00
Wednesday 07:00 - 04:00
Thursday 07:00 - 04:00
Friday 07:00 - 04:00
Saturday 07:00 - 12:00

Telephone

+255800788585

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EA Foods posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to EA Foods:

Shortcuts

Share