Leymax Classic Designed Cakes

Leymax Classic Designed Cakes Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Leymax Classic Designed Cakes, Ufipa stree, Dar es Salaam.

Kupatikana kwa princess Elsa wa buza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒJamani cake za vipande zipoooo mida ya kuagiza ndio hii maboss dessert mu...
23/10/2023

Kupatikana kwa princess Elsa wa buza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Jamani cake za vipande zipoooo mida ya kuagiza ndio hii maboss dessert muhimu sanaaa

πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Tupigie

☎️0769084570

πŸ“ž0714762512

"Passion is the fuel that drives the engine of life. It turns the ordinary into the extraordinary and makes the impossib...
17/10/2023

"Passion is the fuel that drives the engine of life. It turns the ordinary into the extraordinary and makes the impossible possible."

Thank you

Nyieee nyieeee njoooniiii ,hivi alieanzishaga huu msemo wa dharau wa wapika keki ni nani?Na sie tunakubali tu Tena ole w...
07/10/2023

Nyieee nyieeee njoooniiii ,hivi alieanzishaga huu msemo wa dharau wa wapika keki ni nani?

Na sie tunakubali tu
Tena ole wako uniite mpika cake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mmeambiwa keki inachemshwa k**a maboga au mihogo?

Keki inaokwa , ukiila kabla haijapambwa badi umeokewa cake

Ila mtu ana spend masaa kibao, anakesha, anatumia akili nyingi kukupambia cake alafu unamuita mpika cake jamani tupunguze dharau na kazi za watuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Dear bakers kuanzia leo mtu akikuita mpishi wa keki piga simu ya emergency ak**atwe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yaani inafikia hatua hata wanaandaa tinzo wanajumlisha cake na catering aiseeee hii ni dharau ya hali ya juu sana
Lazima tuseme ili muheshimi kazi yetu.

Keki ni category tena yenye sub categories ndani yake za kutoshaaaaa, leo hii jeki ukaiunganishe kwenye category ya wapishi? Yaani catering? Jamani jamani πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Ni bora tuseme pengine hmtambui, sasa itambulike rasmi keki haipikwi na haijawahi kupikwa, keki inaokwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwa mahitaji ya cake wasilinasi

☎️0769084570

πŸ“ž0714762512

πŸ“¬Tunapatikana kinondoni manyanya mtaa wa ufipa

HAPPY BIRTHDAY BABY FAARIS😍😍😍Jinsi anavyoitazama cake yake inanipa rahaaa 😍😍😍😍3D cake yenye shape ya pencil ✏️✏️✏️✏️Kuma...
02/09/2023

HAPPY BIRTHDAY BABY FAARIS😍😍😍

Jinsi anavyoitazama cake yake inanipa rahaaa 😍😍😍😍

3D cake yenye shape ya pencil ✏️✏️✏️✏️

Kumaanisha sasa muda wa masomo umefika πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwa order za cakes

☎️0769084570

πŸ“ž0714762512

Wedding cake πŸ‘ŒπŸ‘Œ
22/08/2023

Wedding cake πŸ‘ŒπŸ‘Œ

Jungle cake theme for baby KEEYAN
05/04/2023

Jungle cake theme for baby KEEYAN

Na maji kwa wingi usisahau,πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
02/04/2023

Na maji kwa wingi usisahau,πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

27/03/2023
Wanawake wa shoka kutoka  Kamvua haka kamekukuta wapi my wetu?Sisi kamvua kametukuta  Hapa hapa tunazo cupcakes na slice...
19/03/2023

Wanawake wa shoka kutoka

Kamvua haka kamekukuta wapi my wetu?
Sisi kamvua kametukuta
Hapa hapa tunazo cupcakes na slice cajes tunauza pale nje garden karibu sana

Pia zipo bakery unaweza pigia,au kuagiza

πŸ“ž0769084570

Happy birthday  Thank you for trusting us, we wish you all the blessings on earth πŸ™πŸ™πŸ™
18/03/2023

Happy birthday
Thank you for trusting us, we wish you all the blessings on earth πŸ™πŸ™πŸ™

Address

Ufipa Stree
Dar Es Salaam
14110

Opening Hours

Monday 09:00 - 21:00
Tuesday 09:00 - 21:00
Wednesday 09:00 - 21:00
Thursday 09:00 - 21:00
Friday 09:00 - 21:00
Saturday 09:00 - 21:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Leymax Classic Designed Cakes posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share