06/08/2026
Kabla hata hujaamua kutafuta mtaji wa hiyo biashara hakikisha umepata ELIMU na umefanya Research kuhusu hiyo biashara kwanza.
Hii itakusaidia 👇
● Kufanya Biashara kwa Data na sio kubahatisha.
● Kuepuka Matapeli na Hasara zisizokuwa za lazima.
● Kuokoa mtaji na muda usije ukafanya biashara ambayo haitakunufaisha na kukupotezea muda
Ndiyo maana katika biashara hii ya Aluminium Foil nimeandaa Darasa fupi /Document maalumu inayoitwa
"Aluminium Foil Business Essential"
(ipo kwa lugha ya kiswahili)
📍Ndani yake utajifunza👇
✅ Faida na Utajiri uliopo kwenye biashara ya Foil.
✅Siri & Misingi ya Soko la Foil Tanzania.
✅ Jinsi ya kuzisoma Specification
✅ Tofauti ya Micron, weight,Width na Length
✅ Jinsi ya kutambua Ubora
✅ Makosa ambayo wafanyabiashara wengi hufanya (ili na wewe usirudie ukapata hasara)
✅ Mambo ya Kuzingatia kabla ya kuagiza au kununua Foil.
Ada / Gharama ya Document hii ipo katika Package zifuatazo.👇
BASIC PACKAGE ➡️ Tsh 20,000/=
-Utapata Document pekee
STANDARD PACKAGE ➡️ Tsh 50,000/=
-Utapata Document full
-Nitakupa Strategy za kukuingizia hela nyingi na faida kubwa
(Yote haya tutazungumza kupitia WhatsApp)
-Nitakupa mbinu na siri za kuliteka soko na kuwashinda wapinzani (mahala ulipo)
-utapata Fursa ya kuzungumza na mimi kwa simu kuuliza chochote na kupata madini na ufafanuzi zaidi.
3.VIP PACKAGE ➡️ Tsh 100,000/=
-Utapata Document full
-Nitakupa Machimbo ya Foil kwa bei rahisi.
-Nitakuelekeza utajiri wa Biashara ya Foil ulipojificha.
-Nitakupa Strategy za kukuingizia hela nyingi/faida kubwa kwenye biashara hii.
NJIA ZA MALIPO👇
CRDB LIPA NAMBA : 116132987
JINA : ALUMINIUM FOIL SUPPLIER
VODACOM-MPESA : 0746 919 511
JINA : ISSA ABDALLAH KIRIBA
Ukishafanya Malipo nitumie Screenshot WhatsApp.