Azania Group

Azania Group We are an eminent manufacturer and exporter of healthy, nutritious and high quality wheat products for the past 10 years within the country and beyond

Tunatambua na kuthamini mchango wa mama katika kila hatua ya maisha. Asante sana ❤️🫂 Happy Mother’s DayWe recognize and ...
10/05/2026

Tunatambua na kuthamini mchango wa mama katika kila hatua ya maisha. Asante sana ❤️🫂 Happy Mother’s Day

We recognize and deeply appreciate the role of a mother in every stage of life. Thank you so much ❤️🫂Happy Mother’s Day.

Kila hatua ya mafanikio yetu ina jina la mfanyakazi nyuma yake. Tunawashukuru kwa bidii na uaminifu wenu. Heri ya siku y...
01/05/2026

Kila hatua ya mafanikio yetu ina jina la mfanyakazi nyuma yake. Tunawashukuru kwa bidii na uaminifu wenu. Heri ya siku ya wafanyakazi duniani.💪🏾💪🏾

Every step of our success carries the name of an employee behind it. We appreciate your hard work and dedication. Happy International Workers’ Day.💪🏾💪🏾

Siri ya chapati zinazochambuka vizuri iko kwenye unga wa ngano wa Azania PHF 🤗😋Fuata tips hizi za kupika na upate chapat...
27/04/2026

Siri ya chapati zinazochambuka vizuri iko kwenye unga wa ngano wa Azania PHF 🤗😋

Fuata tips hizi za kupika na upate chapati laini, tamu na zinazochambuka vizuri.

The secret to perfectly flaky chapati is right in Azania PHF wheat flour 🤗😋

Follow these cooking tips and enjoy soft, tasty chapati that come out beautifully flaky every time.

Nguvu ya taifa letu ipo kwenye umoja wetu. 🤝🇹🇿Tuendelee kushikamana. Heri ya siku ya Muungano!Our nation’s strength come...
26/04/2026

Nguvu ya taifa letu ipo kwenye umoja wetu. 🤝🇹🇿
Tuendelee kushikamana. Heri ya siku ya Muungano!

Our nation’s strength comes from our unity. 🤝🇹🇿
Let’s keep standing together, strong and united. Happy Union Day!

Ubora si wa kubahatisha, ni dhamira yetu ya kila siku.Huanza hapa, kwenye teknolojia ya kisasa inayohakikisha kila punje...
20/04/2026

Ubora si wa kubahatisha, ni dhamira yetu ya kila siku.
Huanza hapa, kwenye teknolojia ya kisasa inayohakikisha kila punje inakidhi viwango.Tunawatakia Wiki njema🤗

Quality isn’t by chance it’s our daily commitment.It begins here, with modern technology that ensures every grain meets the standard.Wishing you a great week ahead.🤗

Anza siku yako na tabasamu Kwa vitafunwa vilivyotengenezwa na bidhaa bora za Azania. Jipatie leo bidhaa bora Toka Azania...
13/04/2026

Anza siku yako na tabasamu Kwa vitafunwa vilivyotengenezwa na bidhaa bora za Azania.

Jipatie leo bidhaa bora Toka Azania, zinazopatika kote madukani na supermarkets au piga 0710 111 112 Kwa oda za biashara. Karibu sana.

Start your day with a smile and snacks made with the best Azania products. Get yourself the best products from Azania today, available in all shops and supermarkets or call 0710 111 112 for bulk orders.

Kwa ubora wa hali ya juu na uhalisia wa ladha ya asili, Azania Coconut Cream ndio siri ya kufanya kila mlo wako uwe wa k...
09/04/2026

Kwa ubora wa hali ya juu na uhalisia wa ladha ya asili, Azania Coconut Cream ndio siri ya kufanya kila mlo wako uwe wa kipekee. Inaongeza utamu, harufu nzuri, na mvuto wa kipekee unaofanya chakula chako kipendwe na kila mtu mezani. Iwe unapika wali wa n**i, mboga, au vyakula vya kisasa, chagua Azania Coconut Cream na uanze kufurahia ladha halisi ya upishi wa kiwango cha juu leo hii.😋🥘🍲

For premium quality and authentic natural taste, Azania Coconut is the perfect choice to elevate your meals. It enhances flavor, adds a rich aroma, and brings a unique touch that makes every dish stand out. Whether you’re cooking traditional or modern meals, start using Azania Coconut today and experience the true taste of quality cooking.😋🥘🍲

Tunawatakia mapumziko mema ya kumbukumbu ya Sheikh Abeid Amani Karume. Tuendelee kujifunza na kuenzi urithi wake. Wishin...
07/04/2026

Tunawatakia mapumziko mema ya kumbukumbu ya Sheikh Abeid Amani Karume. Tuendelee kujifunza na kuenzi urithi wake.

Wishing you a peaceful remembrance day of Sheikh Abeid Amani Karume. Let us continue to learn from his legacy.

Tunakutakia  Pasaka Njema na mapumziko mema, yenye amani.Sending you Easter blessings and wishing you a reflective, peac...
05/04/2026

Tunakutakia Pasaka Njema na mapumziko mema, yenye amani.

Sending you Easter blessings and wishing you a reflective, peaceful holiday.

Vifungashio vya kisasa na vya ubora wa hali ya juu kutoka  Azania Polybag. Pata viroba kwa ukubwa na miundo tofauti kuli...
01/04/2026

Vifungashio vya kisasa na vya ubora wa hali ya juu kutoka Azania Polybag. Pata viroba kwa ukubwa na miundo tofauti kulingana na mahitaji ya biashara yako. Okoa pesa kwenye vifungashio kwa bei ya kiwandani.🏭🏭

Modern and high-quality packaging from Azania Polybag. Find what you are looking for in different sizes and designs to suit your business needs. Save money on your packaging materials. Buy at factory price.🏭🏭

Unaweza kutumia Azania Fresh, mafuta ya kupikia yaliyosafishwa mara tatu kwa chakula bora kiafya. Ni mafuta yenya ladha ...
31/03/2026

Unaweza kutumia Azania Fresh, mafuta ya kupikia yaliyosafishwa mara tatu kwa chakula bora kiafya. Ni mafuta yenya ladha nzuri, bora na yanaweza kutumika mara nyingi bila kupoteza ubora wake.

You may add Azania Fresh, triple-refined cooking oil into your healthy eating routines. It's healthy and tastes great. It is tasty and can be used many times without losing its quality.

Address

Nyerere Road, Industrial Area Opp. Quality Centre
Dar Es Salaam
5055

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 14:00

Telephone

+255710111112

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Azania Group posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Azania Group:

Share