Kuku-lady

Kuku-lady 🐔 Wataalamu wa Ufugaji wa Kuku
🏭 Wasambazaji wa Cages za Kisasa
🔧 Ubora wa Viwango • Uzoefu • Uaminifu
🚚 Huduma, Tanzania Nzima
📞 0762305543.

11/02/2026

Sisi k**a kuku lady tunayofuraha sana , kuku hudumia wewe mteja wetu. Karibu utoe Oda yako mapema .

Makosa mengi ya wafugaji huanzia hapa 👇Kununua cage bila kujua vipimo.Hakikisha unapata ufaham kulingina na kuku ulionao...
22/01/2026

Makosa mengi ya wafugaji huanzia hapa 👇
Kununua cage bila kujua vipimo.

Hakikisha unapata ufaham kulingina na kuku ulionao itakusaidia kufanya uamuzi sahihi wa kuchagua aina ya cage itakayo kufaa.

👉 Save post

👉 “Ufugaji wa kisasa unaanzia kwenye cage sahihi 🐔”Follow for more updates
19/01/2026

👉 “Ufugaji wa kisasa unaanzia kwenye cage sahihi 🐔”

Follow for more updates

18/01/2026

Unataka uzalishaji mkubwa wa mayai, usafi wa hali ya juu na kuku wenye afya?
👉 Cages zetu za kisasa zimeundwa kwa vipimo sahihi, uimara wa muda mrefu na ufanisi wa juu kwa layers na broiler.

✅ Nafasi sahihi kwa kila kuku
✅ Mayai yanachukuliwa kwa urahisi bila kupasuka
✅ Usafi rahisi, magonjwa yanapungua
✅ Inafaa kwa ufugaji wa kibiashara na wa nyumbani

📈 Punguza gharama, ongeza uzalishaji, panda faida!
Hii si cage ya kawaida — ni uwekezaji wa uhakika kwenye mafanikio ya ufugaji wako.

📞 Wasiliana nasi leo, anza kuona tofauti shambani kwako!

Kwa huduma za cages nzuri  na ushauri wa kufuga kuku kisasa  .Usiache ku nifollow ili kupata update mpya kila siku
17/01/2026

Kwa huduma za cages nzuri na ushauri wa kufuga kuku kisasa .
Usiache ku nifollow ili kupata update mpya kila siku

Address

Dar Es Salaam
+255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kuku-lady posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category