Kilimanjaro Premium Lager

Kilimanjaro Premium Lager Kurasa rasmi ya Kili Lager. Kwa wenye umri 18+, Usitume kwa walio chini ya miaka 18. Kunywa kistaarabu. Vigezo vya kushirikishwa: http://bit.ly/3INixup

01/09/2026

Ukisikia PSSCHAAA! Ujue tumeshafungua mizuka
Kili Light. Now we can.
It’s Kili Time
Tag the friend who still asks, “Opener iko wapi?”



🍻

29/08/2026

🍻
Bonge la kilele anataka mwenza wake.
Mnasemaje wadau
Je,tumpatie…?

24/08/2026

Msosi + maji + beer=Its Kili Time🍻.

Tag wana waambie wafollow page yetu na usisahau kucomment emoji 🍻 kuonesha unaenjoy kistaarabu bia yenye bonge la kiburudisho.

🍻

07/08/2026

Siku ya Beer Duniani, ni siku ya kusherehekea pamoja na wana, tukigonga cheers kwa nyakati nzuri na kumbukumbu za pamoja.

Mtag mwana au wana utakaosherehekea nao leo 🍻

29/07/2026

Tag mshkaji wako kumkumbusha kunywa na kuenjoy kistaarabu akiwa na bia yenye bonge la kiburudisho

🍻

25/07/2026

Raha ya mbio ukimbie kilometers zote ulizojiandikisha.
K**a upo Dodoma baada ya kushiriki sote tunakutana jamhuri stadium kula bata na kuenjoy Kilimanjaro Premium Lager

Tag mshkaji wako ambae utakuwa nae.

🍻

21/07/2026

Utamaduni wetu wa kila siku,nafasi yako haiwezi kukosa kati ya hivyo vitu vilivyotajwa hapo juu.
Kipi kinakubamba zaidii na ndio uhalisia wako?

🍻

12/07/2026

Sote tunafurahia na kuenjoy misosi yetu ya kiTanzania tukiwa na Kilimanjaro Premium Lager.

Mtag mkali wa chipsi yai au mkali wa nyama choma ili apate nafasi ya kwenda kwenye vya kwetu redioni wiki ijayo

🍻

07/07/2026

Leo tunasheherekea lugha yetu.

Heri ya Siku ya Kiswahili Duniani.
Ukienda sehemu za kuenjoy lazima ukutane na maneno haya

Kamilisha majibu yako kwenye comments na umtag rafiki yako ili aweze kuona post yetu.


🍻

30/06/2026

Fungua, mimina, furahia 🍻 lakini kumbuka,kila sip ina ladha yake ikinywewa kistaarabu.

Kilimanjaro Premium Lager inakukumbusha,kunywa kwa mpango

Comment emoji 🍻 kuonesha kwamba unaenjoy pamoja na wana.

🍻

Address

Dar Es Salam
12101

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kilimanjaro Premium Lager posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category