Keki Bora Na Tamu Dodoma

Keki Bora Na Tamu  Dodoma KEKI BORA NA TAMU DODOMA TUPO NYUMA YA MAISHA CLUB DODOMA PAMOJA NA MAENEO YA SABASABA MKABALA NA JENGO LA ZAMANI LA TUNAKOPESHA.

SISI NI MABINGWA WA KUTENGENEZA KEKI BORA NA TAMU KATIKA MANISPAA YA DODOMA. TUNADIZAINI KEKI KULINGANA NA TUKIO UNALODHAMIRIA KEKI YAKO IWAKILISHE. TUNA KEKI ZA LADHA NA MAUMBO YOTE UYATAKAYO. KWA MATUKIO YA HARUSI, SHEREHE ZA KIDINI, MAHAFALI, UBATIZO NA SIKUKUU ZOTE, TAFADHALI KARIBU SANA KWETU
TUNAPATIKANA NYUMA YA MAISHA CLUB,KARIBU NA FREEPOINT RESTAURANT PAMOJA NA SABASABA KARIBU NA JENGO LA TUNAKOPESHA

🌙✨ Eid El Adha Mubarak! ✨🌙Kekibora na Tamu Dodoma tunawatakia Waislamu wote Eid yenye amani, furaha, upendo na baraka te...
27/05/2026

🌙✨ Eid El Adha Mubarak! ✨🌙

Kekibora na Tamu Dodoma tunawatakia Waislamu wote Eid yenye amani, furaha, upendo na baraka tele. 🤍🐐
Sherehekea siku hii maalum kwa keki tamu na zenye mvuto kutoka kwa watengenezaji bora wa keki Dodoma! 🎂❤️

Tunatengeneza keki kwa ajili ya matukio yote yanauogusa maisha yako na wale uwapendao

📍 Tunapatikana Dodoma City karibu na SIDO na opposite na Mbalamwezi Catering

Wasiliana nasi kwa 📞 0788 942 327 / 0755 99 1679 uweke oda yako

13/02/2026
❤️ Valentine ni kwa Wapendanao… ❤️Karibu KekiBora Na Tamu – DodomaPata keki ya kimahaba kuwasha na kuimarisha upendo wak...
13/02/2026

❤️ Valentine ni kwa Wapendanao… ❤️

Karibu KekiBora Na Tamu – Dodoma
Pata keki ya kimahaba kuwasha na kuimarisha upendo wako kwa Wafalme na Malkia wako. 👑💖
Tupo hapa kuwasha moto wa mapenzi, utamu na kumbukumbu zisizosahaulika katika Siku ya Wapendanao.

Fanya story yako ya mapenzi iwe tamu zaidi kwa keki iliyotengenezwa kwa upendo wa hali ya juu. 🎂✨

📞 Piga simu kuweka oda sasa:
0788 942 327
0755 991 679
KekiBora Na Tamu – Dodoma

Mahali Ambapo Mapenzi Hukutana na Utamu 💕

Address

Dodoma
MTENDENISTREETBEH

Opening Hours

Monday 08:30 - 18:00
Tuesday 08:30 - 18:00
Wednesday 08:30 - 18:00
Thursday 08:30 - 18:00
Friday 08:30 - 18:00
Saturday 08:30 - 19:00

Telephone

+255788942327

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Keki Bora Na Tamu Dodoma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Keki Bora Na Tamu Dodoma:

Shortcuts

Share