Zeti Sunflower Oil

Zeti Sunflower Oil Refined and Fortified Sunflower Seed Oil made in Tanzania

Eid Mubarak kwa wote! Sikukuu yako iwe na ladha na furaha!
21/03/2026

Eid Mubarak kwa wote! Sikukuu yako iwe na ladha na furaha!

Tunajua unajali afya ya familia yako, ndio maana tumesogeza Mafuta ya Alizeti ya ZETI karibu nawe! Tunajivunia kufanya k...
17/03/2026

Tunajua unajali afya ya familia yako, ndio maana tumesogeza Mafuta ya Alizeti ya ZETI karibu nawe! Tunajivunia kufanya kazi na kuhakikisha unapata mafuta halisi yaliyotengenezwa Tanzania.

Kila tone la Zeti ni fahari ya shambani hadi mezani kwako. Pita kwenye duka hili la jirani yako leo!

Kutoka shambani hadi mezani, tunajivunia kuwa bidhaa ya Kitanzania
10/03/2026

Kutoka shambani hadi mezani, tunajivunia kuwa bidhaa ya Kitanzania

Zeti, Kwa Kila Nyumba!
02/03/2026

Zeti, Kwa Kila Nyumba!

Habari njema! Sasa huna haja ya kwenda mbali kutafuta mafuta bora ya alizeti. Mafuta ya ZETI sasa yanapatikana hapa hapa...
26/02/2026

Habari njema! Sasa huna haja ya kwenda mbali kutafuta mafuta bora ya alizeti. Mafuta ya ZETI sasa yanapatikana hapa hapa kwenye duka la . 🌻

Sogea leo ujipatie saizi yako, kuanzia chupa ndogo hadi dumu kubwa, kwa bei ile ile ya kirafiki. Karibuni sana tupike kwa afya! 🍳✨

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zeti Sunflower Oil posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category