14/09/2024
SUPER GRO
SUPER GRO KWAJILI YA KUPIJA VITA UMASKINI NA NJAA
Ni kichocheo cha afya ya mimea ya aina yote. Bidhaa hii sasa ni maarufu duniani na huku Africa Mashariki kwani imeweza kuwasaidia wakulima kuongeza mazao na kupunguza gharama za kilimo hasa madawa na mbolea.
*Bidhaa hi inatoka kampuni ya kimarekani inayoitwa Golden Neo Diametre International L.td
(GNLD/NEO LIFE)
Kampuni imesajiliwa kufanya biashara Marekana 1958 na Tanzania tangu mwaka Aprili .1999
SUPER GRO IMEWEZA KUJIBU CHANGAMOTO ZA WAKULIMA MFANO
1⃣Mvua haba
2⃣Mazao hafifu
3⃣Udongo uloishiwa rutuba 4⃣Wadudu na Magonjwa 5⃣Gharama kubwa za pembejeo 6⃣Masoko ya mazao yao
Changamoto hizo za wa kulima zinajibiwa na
JINSI YA KUTUMIA SUPER GRO
Super Gro tu.
Taarifa ifuatayo imetolewa k**a mwongozo kurahisisha wakulima kuitumia bidhaa hii mashambani izingatiwe kuwa Super Gro imesajiliwa na mkemia mkuu wa serikali Tanzania.
Pia katka taarifa hii imeandaliwa kutokana na uzoefu ulopatikana kwa wakulima wenyewe baada ya matumizi ya muda mrefu kutoka sehemu mbalimbali k**a mbeya,iringa,Kilimanjaro,Dodoma, Morogoro,Mtwara na Kagera.
Taarifa za nyongeza pia zinatoka sehemu kadhaa za nchi jirani Kenya na Uganda.
Hata hivyo matokeo ya super gro yametofautiana sehemu moja hadi nyingine kutokana na hali ya hewa na mazingira ya eneo.
Super gro ipo katka ujazo wa mils au cc 250mls yaani robo lita zinazoweza kutumika katka eneo la karbu ekari mbili na ujazo wa lita 5 ambazo zinaweza kutumika kwenye eneo la ekari 10 hadi 15 kutegemeana na aina ya zao linalohudumiwa.
**↘Kawaida maji mengi hutiririka juu ya udongo na majani ya mimea bila kupenya ardhini na kiasi kidogo tu hupenya na kuishia tabaka la juu la udongo, Jua likiwaka maji hayo hupotea k**a mvuke hewana.
**SUPER GRO NI NINI?
Ni kirutubisho cha mmea na ardhi.
Hulainisha maji na kuondoa mzio wamaji. Kwani huwezesha maji kupenya hadi tabaka la tatu la udongo ambalo huwa na madini na virutubosho vingi.
Huongeza rutuba katika udongo
Husaidia maua yasipukutishwe na upepo hivyo huongeza wingi wa mazao
👉👆
✅
✅
✅
📶
✔Ni k**a gundi huwezesha madawa ya kilimo aina zote kushika vizuri zaidi kwenye majani na hivyo madawa huweza kuua wadudu kwa urahisi zaidi
✔Huongeza uwezo wa udongo kutunza unyevunyevu
Huyeyusha hali ya mafuta mafuta kwenye majani ya mmea hivyo hutawanyisha maji kwa urahisi
Huleta rangi ya kijani katika mmea
**SIFA ZAIDI ZA SUPER GRO
1⃣Huleta nguvu mpya kwa mazao yaliyo lemaaa
2⃣Husaidia mimea kukua kwenye kimo kimoja
3⃣Huzuia fungas ( fungus) au ukungu kwenye mimea
4⃣Haina sumu ni salama kwa binadamu pia na mazingira kwasababu haiathiri udongo 5⃣Huongeza kiasi cha mavuno pia ukubwa wa matunda
6⃣Huongeza uzito wa mazao kwa mfano
Kabichi, ngongo, vitunguu, Karoti, mahindi, viazi, korosho, chai, kahawa, maharage, kunde na mazao mengineyo.
⏭SUPER GRO
Hulainisha udongo na kuhifadhi maji kwenye matuta wakati wa kiangazi na viazi vinaweza
kuendelea kuzaa hata mwaka mzima.
HITIMISHO
Mazao ambayo huchavuliwa na wadudu unashauriwa usitumie madawa ya kuua wadudu wakati mazao hayo yakitoa maua kwani dawa hizo zinaweza kuua wadudu wachavushaji mimea.
*Hata hivyo SUPER GRO pekee inaweza kutumika k**a haijachanganywa na madawa ya kuua wadudu na ukapata matokeo bora sana*
SUPER GRO ni MKOMBOZI Mkubwa kwani inasaidia kupunguza matumizi ya maji
Wasiliana nasi kupata ya kwako 0682875539