Shangwekazi Poultry FARM

Shangwekazi Poultry FARM Tunatoa Elimu bora ya Jinsi ya kufuga kuku wa kienyeji, Tunauza vifaranga na majogoo ya kienyeji
Bata Muscovy wapo, mayai, vifaranga vya kwale vipo
Karibu

Shangwekazi Poultry Farm ni kwa ajili ya wafugaji wa kuku wa kienyeji na wakisasa wanaohitaji mabadiliko na maendeleo ya kiuchumi kwa kufuga kuku hao kisasa zaidi. SPF inatoa Elimu, Ushauri na Uuzaji wa mazao ya Kuku wa Kienyeji Kwa wafugaji watakaohitaji.

Address

Kipunguni
Ilala
12117

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shangwekazi Poultry FARM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Shangwekazi Poultry FARM:

Share

Category