Farm For the Future

Farm For the Future FFF is a commercial farm for profit in order to provide opportunities for quality education, counsel FFF er en kommersielt drevet farm.

De som arbeider der kan forsørge seg selv og bidra til matproduksjon for nærmiljøet. Den skal også være en arena for læring om helhetlig landbruksdrift for unge enslige mødre, lokale bønder, studenter og unge.

11/05/2026

Farm For the Future tumetembelewa Mheshimiwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo (DED), ambaye alipata wasaha wa kutembelea shamba na kuvutiwa sana na maendeleo ya kilimo cha kisasa cha kibiashara pamoja na programu za kijamii zinazotekelezwa na FFF, ikiwemo Children Farm na Goat Milk for Profit and Nutrition.
Mkurungenzi alionesha kuridhishwa na ubunifu, mazingira ya kujifunzia kwa vitendo, pamoja na mchango wa FFF katika maendeleo ya jamii kupitia miradi yake mbalimbali. Katika mazungumzo hayo, alisisitiza umuhimu wa kuanzisha utalii wa kilimo (Agro-tourism) ili watu mbalimbali waweze kutembelea shamba, kujifunza mbinu za kisasa za kilimo na kupata uzoefu wa moja kwa moja.
K**a hatua kubwa ya maendeleo, DED ameahidi kutoa ushirikiano wa karibu kuhakikisha taratibu zote za kiserikali zinazohitajika zinakamilika ili wanafunzi waendelee kutembelea Children Farm na kupata elimu ya kilimo kwa vitendo.
Ziara hiyo ni mafanikio makubwa kwa FFF katika kuendelea kujenga ushirikiano, kuhamasisha ubunifu wa kilimo, na kuleta matokeo chanya yenye manufaa kwa jamii.

Dear Stakeholders, Friends, and Partners of Farm For the Future,  We are proud to present the profiles of FFF’s Best Wor...
04/05/2026

Dear Stakeholders, Friends, and Partners of Farm For the Future,
We are proud to present the profiles of FFF’s Best Workers for 2026.
These dedicated individuals were honored with special awards during the International Workers’ Day celebrations on May 1, 2026, in recognition of their outstanding contributions and commitment at FFF

Today Farm For the Future Tanzania will annonse «The FFF best worker of the year»Acting CEO, Madam Grace has developed a...
01/05/2026

Today Farm For the Future Tanzania will annonse «The FFF best worker of the year»
Acting CEO, Madam Grace has developed a team with many strong candidates. In short time we will know!

🌱 Children’s Farm produces food for Tanzania.🌱At Farm for the Future in Tanzania, farming is more than growing crops — i...
25/04/2026

🌱 Children’s Farm produces food for Tanzania.🌱
At Farm for the Future in Tanzania, farming is more than growing crops — it is the foundation for opportunity, dignity, and a stronger future.
👧👦 Children’s Farm is about the next generation. It awakens curiosity, builds knowledge, and makes agriculture exciting and meaningful for young people. We want children to see farming not as a last choice, but as a real opportunity — a future they can be proud of, where they can stay, grow, and succeed in their own communities.
✨ Already, Children’s Farm is a success. Students come with curiosity and leave with smiles, knowledge, and inspiration. They love being part of the activities — especially when learning becomes real. 🥚😊.
🐔 We have built our first chicken house with 1,700 hens, ready to start laying eggs in just a few weeks. A second chicken house, also for 1,700 hens, is under construction — reinforcement bars already set, bricks rising from the foundation. Progress is strong 💪🏽🏗️.
🍳 This is about more than eggs. It is about:
• Producing healthy food for Tanzania 🇹🇿
• Making Children’s Farm sustainable 🌍
• Giving students hands‑on learning 📚
• Fighting malnutrition in the community ❤️
🚀 This project is growing fast — bigger than we imagined.
🤝 Support Children’s Farm. Because when we invest in children, we invest in the future of Tanzania. 🙏 Thank you.

17/04/2026
17/04/2026

April 17, 2026 marks the 8th Anniversary of Farm For The Future; a celebration of growth, resilience, and impact.
We proudly honor the Acting Chief Executive Officer, Ms. Grace Kimonge, whose visionary leadership and dedication have guided the organization through this remarkable journey.
Under her stewardship, Farm For The Future has advanced modern agricultural practices and continues to play a pivotal role in driving sustainable development across communities in Tanzania.

17/04/2026

Today, April 17, 2026, we celebrate 8 years since the establishment of Farm For The Future.

We are filled with immense joy to congratulate the Founder and Chairman of Farm For The Future, Mr. Osmund Ueland, for his outstanding and exemplary leadership.

Under his guidance, Farm For The Future has continued to advance in modern agriculture and contribute significantly to the efforts of bringing development to Tanzanian communities.

15/04/2026

Je, ungeamini kuwa ilianza k**a ndoto na sasa imekuwa nguzo ya maendeleo kwa miaka 8 mfululizo tokea kuanzishwa kwa Farm For the Future?”
🌱 Tunapokaribia kilele cha maadhimisho ya Miaka 8 ya Farm For The Future (FFF) tarehe 18 Aprili 2026, tunapenda kutoa shukrani za dhati kwa wadau wetu wote. Imani yenu na ushirikiano wenu katika kukuza FFF umekuwa msingi wa safari yetu ya maendeleo.
🙌 Tunamshukuru kwa dhati Mwenyekiti wa Farm For the Future, Bw. Osmund Ueland, na Mkurugenzi Mtendaji wa Farm For the Future, Bi. Grace Kimonge, kwa uongozi wao thabiti na maono makubwa yaliyohakikisha FFF inabaki imara, hai na yenye mwelekeo wa maendeleo endelevu.
🇹🇿 Aidha, tunatoa shukrani kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutambua na kuunga mkono juhudi za FFF katika kuleta maendeleo ya kijamii na kiuchumi kupitia kilimo cha kisasa chenye tija.
🤝 Kwa pamoja, tumethibitisha kuwa mshik**ano, maono ya pamoja na juhudi za dhati ndizo msingi wa mafanikio ya kweli. Tunapoelekea mbele, tunaamini kuwa ushirikiano huu utaendelea kuleta matunda makubwa kwa jamii na taifa kwa ujumla.

Address

Farm For The Future Tanzania Ltd, PO Box 181, Mazombe
Ilula

Opening Hours

Monday 07:00 - 17:00
Tuesday 07:00 - 17:00
Wednesday 07:00 - 17:00
Thursday 07:00 - 17:00
Friday 07:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00

Telephone

+255629587064

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Farm For the Future posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Farm For the Future:

Share

Category