Silverlands Tanzania Limited

Silverlands Tanzania Limited Silverlands Tanzania
Niwazalishaji wa chakula Bora cha kuku na vifaranga Bora vya kuku Tanzania ,

27/05/2026
Shukurani zetu za dhati ziwaendee wafugaji wote wa Mkoa wa Tabora kwa kujitokeza na kushiriki kwa wingi. Asanteni sana k...
24/05/2026

Shukurani zetu za dhati ziwaendee wafugaji wote wa Mkoa wa Tabora kwa kujitokeza na kushiriki kwa wingi.

Asanteni sana kwa ushirikiano na imani yenu kwetu. Tunawaahidi kuendelea kuwapatia Vifaranga Bora na Chakula Bora kwa maendeleo ya ufugaji wenye tija.

Sasa ni zamu ya wakazi wa Mkoa wa Tabora na viunga vyake!Wafugaji wote wa Mkoa wa Tabora mnakaribishwa kwenye Semina ya ...
21/05/2026

Sasa ni zamu ya wakazi wa Mkoa wa Tabora na viunga vyake!

Wafugaji wote wa Mkoa wa Tabora mnakaribishwa kwenye Semina ya Ufugaji wa Kuku itakayofanyika Jumamosi tarehe 23/05/2026 ndani ya Georges Complex - Cheyo kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa saba mchana.

Jisajili kupitia 0712 533 650, nafasi zimebaki chache.
Wataalam kutoka Makao Makuu ya Silverlands Tanzania Ltd watakuwepo kwa ajili ya kuendesha mafunzo haya na kutoa elimu mbalimbali za ufugaji pamoja na fursa zinazopatikana ndani ya kampuni.
Usipange kukosa!
Silverlands Tanzania Ltd inathamini mchango wako.

20/05/2026

Silverlands Tanzania Ltd, inawashukuru sana wafugaji wote wa Mkoa wa Katavi kwa kujitokeza kwa wingi na kuonesha ushirikiano mkubwa katika shughuli zetu, tunathamini sana sapoti yenu na ushirikiano wenu.

Tunaahidi kuendelea kuwapatia Chakula Bora, Vifaranga Bora, Huduma Bora za Mafunzo pamoja na Huduma za Maabara kwa ajili ya kukuza na kuendeleza sekta ya ufugaji.

Asanteni sana kwa kuendelea kushirikiana nasi. 🙏

Silverlands Tanzania Ltd inawatangazia wafugaji wote wa Mkoa wa Katavi Wilaya ya  Mpanda na viunga vyake kuwa kutakuwa n...
16/05/2026

Silverlands Tanzania Ltd inawatangazia wafugaji wote wa Mkoa wa Katavi Wilaya ya Mpanda na viunga vyake kuwa kutakuwa na Semina Kubwa ya Ufugaji wa Kuku itakayofanyika Katavi Resort Mpanda mjini tarehe 20/05/2026 kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa saba mchana.

Semina hii maalum imeandaliwa kwa ajili ya kuwapa wafugaji elimu bora ya ufugaji wa kuku kutoka kwa wataalam wa Makao Makuu ya Silverlands Tanzania Ltd. Pia kutakuwa na utoaji wa fursa mbalimbali zinazotolewa na Silverlands Tanzania Ltd ikiwemo elimu ya ufugaji wa kisasa, huduma za kitaalamu, ushauri wa biashara ya kuku pamoja na fursa nyingine muhimu kwa wafugaji.
Jisajili sasa kupitia namba 0763 963 125. Wahi nafasi ni chache.

Hakuna kiingilio, na chakula cha mchana kitatolewa bure kwa washiriki wote. Usipange kukosa fursa hii adhimu ya kujifunza, kukuza biashara yako ya ufugaji wa kuku na kupata nafasi ya kukutana na wataalam wa sekta ya mifugo.

Asanteni sana watu wa Mkoa wa Kagera kwa mwitikio wenu mkubwa. Tunawashukuru sana kwa ushirikiano na mapenzi yenu makubw...
16/05/2026

Asanteni sana watu wa Mkoa wa Kagera kwa mwitikio wenu mkubwa. Tunawashukuru sana kwa ushirikiano na mapenzi yenu makubwa kwetu.






Pamoja tunaendelea kuinua tasnia ya ufugaji Tanzania.L
Silverlands Poultry Training Centre

13/05/2026

#
#
#

Habari njema kwa wakazi wa Mkoa wa Kagera na viunga vyake!Silverlands Tanzania Ltd inawatangazia semina kubwa ya ufugaji...
12/05/2026

Habari njema kwa wakazi wa Mkoa wa Kagera na viunga vyake!

Silverlands Tanzania Ltd inawatangazia semina kubwa ya ufugaji wa kuku itakayofanyika tarehe 16/05/2026 kuanzia saa tatu kamili asubuhi mpaka saa saba mchana ndani ya Bukoba Hotel.

Jisajili sasa kupitia namba 0787 787 896. Hakuna kiingilio, na chakula cha mchana kitakuwepo.

Wataalam kutoka Makao Makuu ya Silverlands Tanzania Ltd watakuwepo kwa ajili ya kutoa elimu ya ufugaji bora wa kuku pamoja na kueleza fursa mbalimbali zinazopatikana kupitia Silverlands Tanzania Ltd⁠

Usipange kukosa!

Silverlands Tanzania Ltd⁠ inatoa shukurani zake za dhati kwa wafugaji wote wa Mkoa wa Geita kwa mapokezi na ushirikiano ...
09/05/2026

Silverlands Tanzania Ltd⁠ inatoa shukurani zake za dhati kwa wafugaji wote wa Mkoa wa Geita kwa mapokezi na ushirikiano mkubwa mlioonesha.

Mmeonesha mapenzi makubwa sana katika kukuza sekta ya ufugaji wa kuku, tunasema asanteni sana.
Tuendelee kushirikiana kwa pamoja katika kuijenga na kuiendeleza tasnia ya kuku kwa maendeleo ya wafugaji na taifa kwa ujumla.


#

HABARI NJEMA KWA WAKAZI WA GEITA!Unakaribishwa kwenye Semina Kubwa ya Ufugaji wa Kuku itakayokupa ujuzi wa hali ya juu, ...
06/05/2026

HABARI NJEMA KWA WAKAZI WA GEITA!

Unakaribishwa kwenye Semina Kubwa ya Ufugaji wa Kuku itakayokupa ujuzi wa hali ya juu, ufugaji wa kisasa.
📍 Mahali: Dalush Hotel, Geita Tarehe 09/05/2026 siku ya jumamosi
⏰ Muda: Saa 2:30 asubuhi hadi Saa 7:00 mchana

📞 Jiandikishe sasa kupitia 0753 178 554
Wahi nafasi, ni chache!
Jifunze namna bora ya kufuga kuku kwa faida zaidi usikose fursa hii muhimu!

Address

Makota Farm, Ihemi
Iringa

Opening Hours

Monday 07:00 - 17:00
Tuesday 07:00 - 17:00
Wednesday 07:00 - 17:00
Thursday 07:00 - 17:00
Friday 07:00 - 17:00

Telephone

+255766192245

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Silverlands Tanzania Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Silverlands Tanzania Limited:

Share

Category