Tamumilktz

Tamumilktz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tamumilktz, Vijibweni, Kigamboni.

we are processing milk into different milk products (dairy products) like

�Fresh Milk

�yoghurt into different flavors

�low fat/full fat Mtindi

�Milk cream

�Pure ghee

� Different cheese like mozzarella/ Ricotta Etc

04/04/2026

Furahia Bidhaa kutoka Tamu – Ladha asilia, nguvu ya kweli!

28/02/2026

Refresh mwili na akili! Furahia mtindi baridi wa Tamu Milk muda wowote. 😋

11/02/2026

Usikubali kuishiwa nguvu wakati suluhisho lipo

TAMU MILK – ubora unaoonekana na ladha isiyosahaulika.

Tunatoa huduma ya delivery maeneo ambayo hayana mawakala wetu
Piga simu sasa: 0659700773 & 0758700763

09/02/2026

Karibu Tamu Milk
Maziwa safi, yenye lishe na ladha halisi!
Ukichagua Tamu Milk, unachagua afya kamili

Wasiliana nasi kwa namba 0659700773 & 0758700763

Follow ukurasa zetu kwa update na offers kutoka kwetu

06/02/2026

“Asante kwa kutu-support
Endelea kufurahia TAMU MILK

wasiliana nasi sasa 0659700773





03/02/2026

Tamu Ya kuaminiwa,ladhahalisia
Kwa watoto, vijana na familia nzima
DM kuagiza leo”
call & whatsapp 0659700773





29/01/2026

“Vanilla au Strawberry?

Chagua ladha yako leo

TAMU MILK YOGURT – laini mpaka tone la mwisho”
Call us 0659700773





The current education must also focus on the whole issues of technology, especially on digital, because at the moment, w...
12/09/2024

The current education must also focus on the whole issues of technology, especially on digital, because at the moment, without an understanding of digital issues, young people will still struggle to get rid of themselves economically.

Siku yako inakuwa na furaha zaidi ukiwa na bidhaa zako pendwa
09/09/2024

Siku yako inakuwa na furaha zaidi ukiwa na bidhaa zako pendwa

Weekend hii endelea kufurahi na marafiki zako ,Tunakila sababu ya kuijali furaha yako
07/09/2024

Weekend hii endelea kufurahi na marafiki zako ,Tunakila sababu ya kuijali furaha yako

Rafiki wa kweli muda wote ,5L mtindi unapatikana katika makundi mawili Low fat Mtindi  Full fat mtindi bei elekezi ni 15...
06/09/2024

Rafiki wa kweli muda wote ,5L mtindi unapatikana katika makundi mawili

Low fat Mtindi

Full fat mtindi

bei elekezi ni 15000/=

Wasiliana nasi sasa kujua wakala aliekaribu yako

Address

Vijibweni
Kigamboni

Telephone

+255659700773

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tamumilktz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tamumilktz:

Share