Kukuhela

Kukuhela Jifunze ufugaji wa kuku wa kienyeji kwa urahisi na kujiongezea kipato maradufu

Swali ambalo watu wengi wamekua wakiamini ni kuwa ili Tetea atage mayai lazima awepo Jogoo wa Kumpanda ndio Yai lipatika...
17/02/2024

Swali ambalo watu wengi wamekua wakiamini ni kuwa ili Tetea atage mayai lazima awepo Jogoo wa Kumpanda ndio Yai lipatikane. K**a wewe ni miongoni mwa watu wanaoamini hivyo basi hili Somo ni kwaajili yako kwa sababu unachokiamini sio sawa.

Tetea akifikisha weeks 16-18 anakua tayari ameshaanza kuonyesha dalili za kuanza kutaga kwa ktoa mlio wa kutetea (Ishara ya kuku kupevuka kwaajili ya kuanza kutaga)

Mfumo wa utagaji moja kwa moja (Automatically) uanza mchakato wa kutengeneza yai na inachukua masaa 24-26 yai kujitengeneza lenyewe.

Yai likishakua tayari tetea anataga baada ya hapo inachukua Dakika 30 mfumo kuanza kutengeneza yai liingine.

Kwahiyo tetea yoyote awe wa kisasa au wa kenyeji mda wa kutaga ukifika haiitaji Jogoo ili atage ni kiitendo cha Asili Yai Kujitengeneza Lenyewe...

*SASA SWALI LINAKUJA JE JOGOO ANAKAZI GANI K**A TETEA ANAWEZA KUTAGA MWENYEWE BILA KUPANDWA NA JOGOO??

Jibu ni kwamba Jogoo ndiye mwenye uwezo wa kurutubisha yai na kulifanya liwe na uwezo wa kutoa kifaranga.

MUHIMU:
TETEA HUTAGA YAI MOJA KWA SIKU,NA PIA ANARUKA MARA MOJA KWA WIKI HATAGI YAI

Address

Kilimanjaro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kukuhela posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kukuhela:

Share

Category