APM Tucasa NIT

  • Home
  • APM Tucasa NIT

APM Tucasa NIT Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from APM Tucasa NIT, Grocers, .

Miongoni mwa sifa za ukalimani Bora ni kuwa nadhifu,TUCASA APM IOTF hatujawahi kulisahau hili,, hebu Fanya jambo upendez...
15/05/2026

Miongoni mwa sifa za ukalimani Bora ni kuwa nadhifu,
TUCASA APM IOTF hatujawahi kulisahau hili,, hebu Fanya jambo upendeze kwa sare nzuri hizo,,,
jamaniii eee KUPENDEZA KUNAONGEZA KUJIAMINI UWAPO STAGE😁😁😁

01/05/2026

Ongeza maarifa

Katika mkutano mkuu wa chama Cha Tucasa STU idara ya huduma wezeshi ya kiadventista yaani APM hawakubakia nyuma bali wal...
01/05/2026

Katika mkutano mkuu wa chama Cha Tucasa STU idara ya huduma wezeshi ya kiadventista yaani APM hawakubakia nyuma bali walikuwa mstari wa mbele kushiriki katika utume..
HAKIKA AHIMIDIWE YEYE ATUPAYE KUSHINDA NA ZAIDI YA KUSHINDA📌📌 YOUR LIGHT SHINE@

Idara ya hufuma wezeshi ndani ya Tucasa NIT wakipokea vyeti vya pongezi kutoka kwa mwenyekiti wa TAWI Hilo Abubakari Tum...
01/05/2026

Idara ya hufuma wezeshi ndani ya Tucasa NIT wakipokea vyeti vya pongezi kutoka kwa mwenyekiti wa TAWI Hilo Abubakari Tumbu. k**a sehemu ya kutambua huduma Yao ndani ya chama .
Bwana awabariki wote katika utume
One voice 27

behind the scene,,,baada ya wakalimani wa lugha ya alama ya Tanzania kutoka Tucasa NIT wakiwa katika pose makini baada y...
01/05/2026

behind the scene,,,
baada ya wakalimani wa lugha ya alama ya Tanzania kutoka Tucasa NIT wakiwa katika pose makini baada ya shooting ya wimbo uitwao Mimi ni msabato..
my hands my language🤝🤝

Tuambukizane furaha kwa sababu furaha sio ugonjwa. Ndoro Mfungo Tucasa Nit Choir
14/04/2026

Tuambukizane furaha kwa sababu furaha sio ugonjwa. Ndoro Mfungo Tucasa Nit Choir

10/04/2026

karibuni tushiriki vyema na jamii hii inayopendwa na Mungu.
Ndipo atasema kadri ulivyowatendeea hao walio wadogo ulinitendea Mimi..... njoo uingie katika Raha ya milele.
Tucasa Nit Choir Tucasa Stu Tucasa Cedazzo

29/03/2026

Matunda mbalimbali na lugha ya alama.
karibu tuongezee maarifa

Huduma ya ukalimani wa lugha ya alama utakuwepo.njoo na rafiki ambae anausikivu hafifu atabarikiwa pia.. Tucasa Nit
28/03/2026

Huduma ya ukalimani wa lugha ya alama utakuwepo.
njoo na rafiki ambae anausikivu hafifu atabarikiwa pia.. Tucasa Nit

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when APM Tucasa NIT posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed Food & Beverage Service?

Share