Bwana Sukari

Bwana Sukari Bwana Sukari ni bidhaa inayozalishwa na kampuni ya Kilombero Sugar inayoongoza kwa uzalishaji wa suk

25/08/2026

🌙✨Heri ya sikukuu tukufu ya Maulid, iwe chanzo cha amani, upendo na mshikamano katika familia na jamii zetu.

20/08/2026

Kuna tuvitu ukikosa kwenye tranker lako Maisha ya boarding yalikuwa ya shida sanaaa!

Wadau najua mnanielewaaaa

Kila kikombe cha chai kinatabia yake.Kikombe chako kinatabia gani?
18/08/2026

Kila kikombe cha chai kinatabia yake.

Kikombe chako kinatabia gani?

12/08/2026

Utamu wa makande hayahitaji maelezo mengi, ajuaye ni yule anayeonja tu! 🥣✨

Je, wewe unapendelea makande yako yakiwa na sukari kiasi gani? Tuambie kwenye comments!

10/08/2026

Je, Unajua? Sukari ni chanzo kikubwa cha wanga au carbohydrates kinachokupa nguvu na uchangamfu wa kutosha kila siku!

Beba nguvu ya utamu halisi wa Bwana Sukari uwe na siku yenye nishati tele!

08/08/2026

Katika maadhimisho ya Nane Nane, tunawashukuru wakulima wetu na wadau wote wa kilimo kwa kazi kubwa mnayoifanya kila siku.

Nyinyi ndio chanzo cha kila ladha na kila tabasamu.

Heri ya Nane Nane! 🌾

07/08/2026

Furaha ya utamu kwa familia na marafiki inaanzia mashambani. Nyuma ya kila ladha tamu mezani kwako, kuna mikono yenye bidii na moyo wa kujitolea wa mkulima wetu.

05/08/2026

Kila kipande cha mkate na kikombe cha chai, kimepambwa kwa utamu halisi wa mashambani!

03/08/2026

Ushawahi kujiuliza ni nini kinachoingia kwenye kikombe chako cha chai cha kila siku?

Yote huanzia mashambani na wakulima wetu shupavu wa hapa nyumbani.

Asante kwa kutusambazia Furaha Mezani!

31/07/2026

Bwana Mimi kusema ukweli, chini ya Maandazi 5, sishibi, vipi wewe mwezangu?

Tuseme tu ukweli.

Address

Kidatu
Morogoro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bwana Sukari posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Bwana Sukari:

Shortcuts

Share