06/04/2026
MMMY MINISTRY 'tunaendelea kup3leka Injili iokoayo ya Kristo Yesu 'Eneo la Huduma ya MMMY MINISTRY Msolokelo'. Ukihitaji kusaport huduma za ujenzi wa hema za vijijini usiache kutuma Mchango/au Sadaka yako.kwa Number 0747961242.(Jina litatoka Yohana Lemnje)