LUCKY agri-success

LUCKY agri-success thanks for choosing lucky agri-success to solve your farms problems

09/11/2024
01/11/2024
23/10/2024

Jeshi la polisi mkoani Morogoro limewakamata na kuwafungia leseni madereva 34 wa vyombo vya moto kwa tuhuma za kufanya makosa mbalimbali hatarishi kwa usalama barabarani.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Alex Mkama amesema madereva hao wamekamatwa kutokana na doria inayoendelea kufanywa na jeshi hilo na kubainisha kuwa, madereva sita katika hao waliokamatwa walikutwa katika hali ya ulevi.

Doria hizi za mara kwa mara za polisi barabarani zitasaidia kupunguza ajali na matukio mengine hatarishi? Nini zaidi kifanyike?

Tupe maoni yako na yatasomwa kwenye taarifa ya habari ya kuanzia saa 7.00 mchana.

Ahsante ya mdomo haitoshi mtafute umpe mtaji zaidi ya bajaji
20/06/2023

Ahsante ya mdomo haitoshi mtafute umpe mtaji zaidi ya bajaji

Asante ndugu yangu 🙏🏽

15/06/2023

𝗧𝗛𝗔𝗡𝗞 𝗬𝗢𝗨 Milton Nienov

Tunamshukuru Kocha wa magolikipa Milton kwa mchango wake katika kipindi chote alichofanya kazi kwenye benchi la ufundi la Klabu yetu na tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya nje ya Young Africans SC.


Address

Moshi
25304

Telephone

+255674868636

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LUCKY agri-success posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to LUCKY agri-success:

Share