Kilimo Pro Max.

Kilimo Pro Max. +255

28/05/2026
Saa mbili natuma picha ilifafanua mbolea mifuko sita inatumikaje kwa ekari kuna watu iliwachanganya na vipimo upandeje n...
28/05/2026

Saa mbili natuma picha ilifafanua mbolea mifuko sita inatumikaje kwa ekari kuna watu iliwachanganya na vipimo upandeje nitaelezea karibuni
K**a hujafollow basi follow page hii sasa

Naomba mnijibu kwa mliowahi hivi nikweli inawezekana kuotesha mbegu zote kwenye ekari moja kwa 100% lisiwepo pengo? Leo ...
28/05/2026

Naomba mnijibu kwa mliowahi hivi nikweli inawezekana kuotesha mbegu zote kwenye ekari moja kwa 100% lisiwepo pengo? Leo saa 2 usiku nakuja na video ya kufafanua ile bajeti yetu kuna watu hawakuelewa karibu mda ukifika.

Mwisho bwana AI kawakumbuka wahaya kazi kwenu.
28/05/2026

Mwisho bwana AI kawakumbuka wahaya kazi kwenu.

Sasa hapo karundika au kapanda 🤔🤔🤔Anyway leo natuma video nikifafanua mifuko 6 ya mbolea inatumika vipi kwenye ekari moj...
28/05/2026

Sasa hapo karundika au kapanda 🤔🤔🤔
Anyway leo natuma video nikifafanua mifuko 6 ya mbolea inatumika vipi kwenye ekari moja na mbegu kilo 12 inatumikaje kwenye ekari moja. Ni leo saa 2 usiku 8:00 PM k**a hujafollow page hii follow leo utapata ujuzi na uzoefu kwenye kilimo.

28/05/2026

ni leo usiku k**a hujafollow page hii kupata maarifa ya kilimo follow sasa

Hivi unajua k**a mahindi yakipata mbolea nzuri kwa mda mwafaka hua yananenepa sana hivyo kupelekea kuchipua machipukizi ...
28/05/2026

Hivi unajua k**a mahindi yakipata mbolea nzuri kwa mda mwafaka hua yananenepa sana hivyo kupelekea kuchipua machipukizi pembeni ukiona yamechipuka toa haraka kwasababu hunyonya hilo kubwa ingekuwa ni miwa ni kawaida ila kwa mahindi toa haraka leo napost bajeti ya kulima ekari moja ya mahindi kwa video sio maandishi kaa tayari kusikiliza ni leo saa 2 usiku nitaelezea na kufafanua kwanini mifuko 6 ya mbegu na mbolea wote tutaelewana kabisa k**a una swali kuhusu bajeti hio basi utauliza kwenye comment ya video hio pia kuna vitu siku weka kwenye post za maandishi ila kwenye video utasikia vyote karibuni sana

Karibuni wote follow leo page hii kupata maarifa ya kilimo soma picha hio kisha tukutane saa 2 usiku.
28/05/2026

Karibuni wote follow leo page hii kupata maarifa ya kilimo soma picha hio kisha tukutane saa 2 usiku.

27/05/2026

Niulize swali kuhusu kilimo nipo online kwa masaa 4 toka mda huu.

Tanzania tupo nyuma kwa kila kitu Kenya wako na Mavuno fertilizer na inafanya kazi vizuri ila bongo sasa ipo Minjingu na...
27/05/2026

Tanzania tupo nyuma kwa kila kitu Kenya wako na Mavuno fertilizer na inafanya kazi vizuri ila bongo sasa ipo Minjingu na fomi ukiweka k**a umeweka majivu tu hakuna chochote kinachojili😆😆 wenye makampuni ya mbolea bongo mnatuzalilisha sana badilikeni mnatuangusha sana.

Address

Muheza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kilimo Pro Max. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category