Better Chick Tanga

  • Home
  • Better Chick Tanga

Better Chick Tanga Tuna totolesha Vifaranga bora na kuviuza baada ya Chanjo | Vyakula vya Kuku | Elimu na Ushauri

WAFUGAJI  WAFUGAJI  WAFUGAJI Nimewaita mara 3 nina habari njema sana kwaajili yenu ndugu zangu.Better Chick tunakusaidia...
11/04/2026

WAFUGAJI WAFUGAJI WAFUGAJI
Nimewaita mara 3 nina habari njema sana kwaajili yenu ndugu zangu.

Better Chick tunakusaidia kupata vifaranga wenye channjo watakao weza kukua bila changamoto tunakusaidia kuupa usimamizi lakini sambamba na hilo tunakuuzia na chakula kitakacho kupa matokeo kwa bei nafuu

Biashara ya Ufugaji wa Kuku ni miongoni mwa bishara zinazohitaji Umakini mkubwa sana hasa kwenye kuchagua aina ya mbegu ...
10/04/2026

Biashara ya Ufugaji wa Kuku ni miongoni mwa bishara zinazohitaji Umakini mkubwa sana hasa kwenye kuchagua aina ya mbegu ya kuku (Vifaranga) pamoja na chakula.

Kwa kuzingatia hilo Better Chick tumekuja na Suluhisho la kudumu kukufanya upate matokeo bora kwenye uwekezaji wako

Wasiliana nasi kupitia 0654 700 724
Tunapatikana Msasmbweni, Tanga

K**a unataka kuanza Ufugaji au wewe ni mfugaji lakini hupati matokeo mazuri pamoja na wewe mfugaji mkongwe unaetaka kuku...
10/04/2026

K**a unataka kuanza Ufugaji au wewe ni mfugaji lakini hupati matokeo mazuri pamoja na wewe mfugaji mkongwe unaetaka kukua zaidi, Karibu Better Chick Tanga hapa tunatotolesha vifaranga wa aina zote sambamba na hilo tunao wataalamu wanaoweza kukuvusha kwenye changamoto za ufugaji wako

Karibu makao makuu yetu Msambweni Tanga
Wasiliana nasi kupitia 0654 700 724

Kila  mtu abafahamu umuhimu wa chakula bora kwa Afya ya Viumbe hai, Sasa kwanini wewe unawalisha kuku wako chakula ambac...
10/04/2026

Kila mtu abafahamu umuhimu wa chakula bora kwa Afya ya Viumbe hai, Sasa kwanini wewe unawalisha kuku wako chakula ambacho sio Bora kwa ukuaji wako.

Wenzako wamesh*tukia mchongo sasa wanapata matokeo bora kwasababu wanapata chakula cha mifugo yao kutoka Better Chick

Tunapatikana Msambweni Tanga.
Tupigie kupitia 0654 700 724

Miaka ya hivi karibuni tumekua na wimbi kubwa la wafugaji wanaopitia changamoto katika ufugaji wao.Miongoni mwa changamo...
09/04/2026

Miaka ya hivi karibuni tumekua na wimbi kubwa la wafugaji wanaopitia changamoto katika ufugaji wao.
Miongoni mwa changamoto hizo ni vifo vya mifugo (kuku)
Better Chick Tanga tunakupatia Mbegu bora (Vifaranga) waliopata chanjo lakini pamoja na hilo unapata usaidizi wa ushauri mara kwa mara
Tupigie leo kupitia simu namba 0654 700 724
Tunapatikana Msambweni,Tanga.

18/02/2026

Unahitaji vifaranga wa Umri gani au aina gani?
Better Chick Tanga tunalo chaguo lako kipenzi tunapokea maelekezo yako na kutekeleza
Tupigie kupitia 0654 700 724
📍 Msambweni, Tanga.

15/02/2026

Tumekua tukiona watu wengi wanapitia changamoto za kupata hasara katika ufugaji wao so hii imepelekea wao kukata tamaa.
Ila sasa tumaini limekuja kwani hapa Better Chick Tanga tumeamua kuwakwamua wafugaji wa kuku kwa kuwaletea vifaranga bora pamoja na Chakula cha kuku.
Wasiliana nasi kupitia 0654 700 724. au weka comment hapo chini tutakufikia ulipo
📍Tunapatikana Msambweni Tanga

14/02/2026

Hivi unafahamu kua Ufugaji ni Biashara kubwa na kuna Fursa kubwa sana kwenye sector ya Ufugaji hasa wa Kuku.
Hivyo Better Chick Tanga, tumeamua kuwainua vijana wenzetu Popote pale ulipo nchini Tanzania. Tunakusaidia kupata Vifaranga wenye chanjo n kukupatia usimamizi na ushauri hadi upate Faida kulingana na uwekezaji wako
Karibu tupo 📍Msambweni Tanga
📞 0654 700 724

Address

Tanga Street 16

0000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Better Chick Tanga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Food & Beverage Service?

Share